Home
Unlabelled
salamu toka nanihii...
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Umenikumbusha kitabu nilichowahi kukisoma zamani... Kiliitwa Gulioni Katerero... Thank u Mdau wa Voda.
ReplyDeleteAsante sana ndugu Michuzi kwa kutuonyesha sehemu muhimu kama hizi.hii sehemu nimeshafika na mandhari yake kwa kweli ni nzuri hasa wakati wa jua kali kunakuwa hakuna majani. hapo kwenye picha ni nje kidogo tu ya "katerero" , ukipanda juu kidogo hapo ndio katerero kwenyewe huko kwa kweli ukitembea sana mara "Mvua" ghafla huwa zinamwagika mashemeji zetu kina Minziro huwa wanapenda sana kutembelea huko. mdau Zee la Bandari UK.
ReplyDeleteHuu sasa uchokozi. U wapi rafiki yangu Rwebembira uliyefahamika kwa umaarufu wako wa nanihii...
ReplyDeleteHapo sasa ndo ile STYLE ya KARUFUNDI au "katerero" ilipoanzia kwa ndugu zetu WAHAYA.
ReplyDeleteBahati nzuri waliwahi kujilinda(NGOMA) kabla Migomba haijabaki yenyewe pamoja na nyumba tupu.
Yehuuuuuu.....!
ReplyDeleteYehuuuuuuuuuuuu.....!
ReplyDeleteKATERERO neno lina maana kubwa hilo haiwezi kuzungumzika mahali hapa lakini jirani zetu warundi wanaweza kutueleza zaidi
ReplyDeletendo kweli'i'lianzia hapa..tuhabaharisheni wanaolijua hili..maana ya jina hili ni nini na nini chanzo/nasaba ya kuitwa vile?
ReplyDeleteuzengere
We anony wa 10:50 (Zee la Bandari) acha uhuni wewe! yaani unajifanya MALENGA WETU sio, Fumbo mfumbie mjinga..............
ReplyDeletehivi huyo muasisi mwenyewe wa haka kastaili ambako ni maarufu sana east africa anajulikana.? manake itabidi awe national hero au vp wadau. wenzetu ulaya waliogundua mbinu fulani wana majina makubwa. sikujua kama kuna kijiji kina jina hili na lazima atakuepo muasisi mwenyewe?????
ReplyDeleteNami nasifu waliotoka huko! Ukionja hiyo kitu kutoka huko unakuwa kichaa!
ReplyDeleteWote mliotoa maoni HAMJATULIA kabisa....hilo ni jina tu la kijiji wala halina uhusiano na BUTEC (Bukoba Technology) mnayoizungumzia. Hivi bado watu wanakandamiza hiyo staili?....kuuliza si ujinga!
ReplyDeleteAnonymous said
ReplyDeletendo umeandika kitu chenye uhakika maana watanzani na mawazo yaho mabovu uwanza ngono hawajui kuwa tanzania kuna kumbukumbu muhimu sana,mpaka mtuzi akaamua kutunga kitabu ambacho watanzania wengi wamekisoma,
Zee la Bandari
ReplyDeleteUmeniacha hoi utafikiri mwalimu wa fasihi simulizi. Unaandika kama michu alikupa picha wiki mbili kabla ili utunge simulizi toka Katerero. Kwani mvua huwa zinayesha ghafla zinaanza na manyunyu, Ila nasikia majani yakiwa yamekauka kunatereza sana huko, sijui udongo wake ni aina gani ila wanasema sehemu nyingi ni udongo nata. Ila jamaa wanasema pia mifereji yake ni mipana mno hivyo maji hayakai muda mrefu na kuacha udongo nata ukiwa mkavu na uterezi kwa mbaaali.
UNANIKUMBUSHA VITA YA SISI NA IDD AMIN, WANAJESHI WA UGANDA WALIINGIA NCHINI KWETU NA KUFIKA KIJIJI KIMOJA NA KUMKUTA MSICHANA MDOGO NA KUMFANYIA VITENDO VIBAYA, ALIPOKUWA ANAHOJIWA NA RADIO TANZANIA KIPINDI KILE NI MAJIRA KILIKUWA KINAITWA AKASEMA HIVI WALIKUJA WANAJESHI WA IDD AMIN NA KUUA NDUGU ZANGU WOTE NA WALIPOKUJA KWANGU WOTE WAKANIOA WAKANIOA WAKANIOA WOTE HADI NIKAZIMIA.
ReplyDeleteMdau Tarehe February 10, 2009 4:27 AM,umenivunja mbavu mpaka basi, eti wakanioa wakanioa wakanioa mpaka nikazimia...Ama kweli zamani watu walikuwa na heshima zao.! Mwe
ReplyDeletejAMANI MBONA NAKOSA MENGI? NIELEZENI NA MIMI NIPATE KUNUFAIKA NA KATEREO, WENGINE WANAITA bUtEC, SASA KAMA KUNA KITU KIZUI SI TUHADITHIANE?
ReplyDeletekaterero maana yake nini aswa?michu ata watu wapost bwana tuelewe maana twaona mafumbo weee adi kero!!hawatachafua hewa ni kujuzana tuuu habari,,
ReplyDeleteaisee kile kitabu cha darasa la 3 km sikosei iyo hadithi adi leo naikumbuka
mtupe maana ya KATERERO
Hizi comments ni nzuri sana! Nimefurahi kuzisoma. Mie naomba mdau aliyetuma hii picha atupe historia/ufafanuzi ya Katerero. I am pretty sure he/she had a good reason for sending us that picture
ReplyDeleteMeseji imefika, kwani jamaa alitaka kuwathibitishia kizazi cha sasa ambacho kilishalewa na msemo huu kwa maana nyingine tofauti.
ReplyDeleteUjumbe ni kuwa neno hilo limepotoshwa, ni eneo lililopo huko Bukoba/Kagera.
Ahsante kwa kuwakumbusha, manake wengine walikuwa wakiogopa hata kulitamka, wakijua ni neno la siri
M3
JAMANI TUPENI MAANA YAKE NYIE WAHAYA UMU NDANI,,,alaaaaaa
ReplyDeletewee utatumaje ktk blogu ya jamii umu kijipicha tu na kibango katerero na uyo jamaa anyoosha kidole,,,msilete mzaha