wadau wote wa globu ya jamii mnasalimiwa na mdau akiwa katerero ambako anasema kumejaa rutuba na mandhari yake inavutia machoni.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 21 mpaka sasa

  1. Umenikumbusha kitabu nilichowahi kukisoma zamani... Kiliitwa Gulioni Katerero... Thank u Mdau wa Voda.

    ReplyDelete
  2. Asante sana ndugu Michuzi kwa kutuonyesha sehemu muhimu kama hizi.hii sehemu nimeshafika na mandhari yake kwa kweli ni nzuri hasa wakati wa jua kali kunakuwa hakuna majani. hapo kwenye picha ni nje kidogo tu ya "katerero" , ukipanda juu kidogo hapo ndio katerero kwenyewe huko kwa kweli ukitembea sana mara "Mvua" ghafla huwa zinamwagika mashemeji zetu kina Minziro huwa wanapenda sana kutembelea huko. mdau Zee la Bandari UK.

    ReplyDelete
  3. Huu sasa uchokozi. U wapi rafiki yangu Rwebembira uliyefahamika kwa umaarufu wako wa nanihii...

    ReplyDelete
  4. Hapo sasa ndo ile STYLE ya KARUFUNDI au "katerero" ilipoanzia kwa ndugu zetu WAHAYA.
    Bahati nzuri waliwahi kujilinda(NGOMA) kabla Migomba haijabaki yenyewe pamoja na nyumba tupu.

    ReplyDelete
  5. Yehuuuuuu.....!

    ReplyDelete
  6. Yehuuuuuuuuuuuu.....!

    ReplyDelete
  7. KATERERO neno lina maana kubwa hilo haiwezi kuzungumzika mahali hapa lakini jirani zetu warundi wanaweza kutueleza zaidi

    ReplyDelete
  8. ndo kweli'i'lianzia hapa..tuhabaharisheni wanaolijua hili..maana ya jina hili ni nini na nini chanzo/nasaba ya kuitwa vile?

    uzengere

    ReplyDelete
  9. We anony wa 10:50 (Zee la Bandari) acha uhuni wewe! yaani unajifanya MALENGA WETU sio, Fumbo mfumbie mjinga..............

    ReplyDelete
  10. hivi huyo muasisi mwenyewe wa haka kastaili ambako ni maarufu sana east africa anajulikana.? manake itabidi awe national hero au vp wadau. wenzetu ulaya waliogundua mbinu fulani wana majina makubwa. sikujua kama kuna kijiji kina jina hili na lazima atakuepo muasisi mwenyewe?????

    ReplyDelete
  11. Nami nasifu waliotoka huko! Ukionja hiyo kitu kutoka huko unakuwa kichaa!

    ReplyDelete
  12. Wote mliotoa maoni HAMJATULIA kabisa....hilo ni jina tu la kijiji wala halina uhusiano na BUTEC (Bukoba Technology) mnayoizungumzia. Hivi bado watu wanakandamiza hiyo staili?....kuuliza si ujinga!

    ReplyDelete
  13. Anonymous said
    ndo umeandika kitu chenye uhakika maana watanzani na mawazo yaho mabovu uwanza ngono hawajui kuwa tanzania kuna kumbukumbu muhimu sana,mpaka mtuzi akaamua kutunga kitabu ambacho watanzania wengi wamekisoma,

    ReplyDelete
  14. Zee la Bandari
    Umeniacha hoi utafikiri mwalimu wa fasihi simulizi. Unaandika kama michu alikupa picha wiki mbili kabla ili utunge simulizi toka Katerero. Kwani mvua huwa zinayesha ghafla zinaanza na manyunyu, Ila nasikia majani yakiwa yamekauka kunatereza sana huko, sijui udongo wake ni aina gani ila wanasema sehemu nyingi ni udongo nata. Ila jamaa wanasema pia mifereji yake ni mipana mno hivyo maji hayakai muda mrefu na kuacha udongo nata ukiwa mkavu na uterezi kwa mbaaali.

    ReplyDelete
  15. UNANIKUMBUSHA VITA YA SISI NA IDD AMIN, WANAJESHI WA UGANDA WALIINGIA NCHINI KWETU NA KUFIKA KIJIJI KIMOJA NA KUMKUTA MSICHANA MDOGO NA KUMFANYIA VITENDO VIBAYA, ALIPOKUWA ANAHOJIWA NA RADIO TANZANIA KIPINDI KILE NI MAJIRA KILIKUWA KINAITWA AKASEMA HIVI WALIKUJA WANAJESHI WA IDD AMIN NA KUUA NDUGU ZANGU WOTE NA WALIPOKUJA KWANGU WOTE WAKANIOA WAKANIOA WAKANIOA WOTE HADI NIKAZIMIA.

    ReplyDelete
  16. Mdau Tarehe February 10, 2009 4:27 AM,umenivunja mbavu mpaka basi, eti wakanioa wakanioa wakanioa mpaka nikazimia...Ama kweli zamani watu walikuwa na heshima zao.! Mwe

    ReplyDelete
  17. jAMANI MBONA NAKOSA MENGI? NIELEZENI NA MIMI NIPATE KUNUFAIKA NA KATEREO, WENGINE WANAITA bUtEC, SASA KAMA KUNA KITU KIZUI SI TUHADITHIANE?

    ReplyDelete
  18. katerero maana yake nini aswa?michu ata watu wapost bwana tuelewe maana twaona mafumbo weee adi kero!!hawatachafua hewa ni kujuzana tuuu habari,,
    aisee kile kitabu cha darasa la 3 km sikosei iyo hadithi adi leo naikumbuka
    mtupe maana ya KATERERO

    ReplyDelete
  19. Hizi comments ni nzuri sana! Nimefurahi kuzisoma. Mie naomba mdau aliyetuma hii picha atupe historia/ufafanuzi ya Katerero. I am pretty sure he/she had a good reason for sending us that picture

    ReplyDelete
  20. Meseji imefika, kwani jamaa alitaka kuwathibitishia kizazi cha sasa ambacho kilishalewa na msemo huu kwa maana nyingine tofauti.
    Ujumbe ni kuwa neno hilo limepotoshwa, ni eneo lililopo huko Bukoba/Kagera.
    Ahsante kwa kuwakumbusha, manake wengine walikuwa wakiogopa hata kulitamka, wakijua ni neno la siri
    M3

    ReplyDelete
  21. JAMANI TUPENI MAANA YAKE NYIE WAHAYA UMU NDANI,,,alaaaaaa
    wee utatumaje ktk blogu ya jamii umu kijipicha tu na kibango katerero na uyo jamaa anyoosha kidole,,,msilete mzaha

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...