mabingwa wa kandanda marekani kaskazini msimu uliopita vancouver whitecaps wanatarajiwa kutua bongo mwezi ujao tarehe 6 kwa michezo kadhaa, ikiwa ni pamoja na taifa stars, yanga na simba. kwa mujibu wa msemaji wa waandalizi wa ziara hiyo, laurel hubert, mkutano wao na waandishi wa habari utafanyika wiki hii dar
whitecaps katika moja ya michezo yao
beki wa whitecaps akipambana na david beckham wa L.A. Galaxy katika mchezo wa ligi ambapo whitecaps walishinda 2-1
mengi mengine kuhusu whitecaps

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. Huyo beki amekaa mkao wa kupigwa ama kanzu au tobo na Beckham. Hao jamaa wanaweza mpira kweli manake waingereza hawapigi kanzu na matobo.

    ReplyDelete
  2. itakuwaje hawa wacheze na timu ya taifa? kwani timu yao pia ni ya taifa?

    ReplyDelete
  3. Jamani Whitecaps hawako ligi moja na LA Galaxy! Huu ulikuwa mchezo wa exhibition tu, sio wa ligi. Whitecaps wako "daraja la pili". Tusiwapotoshe wadau jamani.

    ReplyDelete
  4. mchangiaji wa pili good point tena hii timu wala sio kubwa iko katika daraja la pili.

    ReplyDelete
  5. .....kutalii....wathungu...

    ReplyDelete
  6. http://usl1.uslsoccer.com/hii ni web ya USL FIRST DIVISION
    Austin Aztex
    Charleston Battery
    Minnesota Thunder
    Montreal Impact
    Portland Timbers
    Rochester Rhinos Whitecaps
    Puerto Rico Islanders
    Miami FC Blues
    Carolina RailHawks
    Cleveland City Stars
    Please naomba wapenzi watembele hiyo web
    Mpenzi wa mpira

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...