Mmoja wa Viongozi wa kundi la wafugaji wa Kimasai Bw. Mangeti Mtiu (kushoto) akiongea na vyombo vya habari leo jijini Dar kupinga kitendo cha Halmashauri ya Wilaya ya Kilosa kushikilia baadhi ya mifugo yao na kuwahamishia Wilayani Mvomero kutoka katika eneo la Mabwegere lililopo wilayani Kilosa.Kulia ni Bw.Leini Kisau

TUSILIONEE HAYA SUALA HILI LA WAMASAI KATIKA ARDHI YA TANZANIA.
ReplyDeleteHWA NDUGU ZETU KATIKA KARNE HII YA 21 WAO WANAISHI KAMA WAKO KARNE YA 10.
LAZIMA WAMASAI WAAMBIWE NYASI ZOTE ZA DUNIA SI MALI YAO NA NG'OMBE WAO!
LAZIMA WAISHI KWA USTAARABU UNAOELEKEA DUNIA YA KISASA.
NA JE ILE ARDHI WANAYOIACHA KULE ARUSHA ,MANYARA NA KWINGINEKO IWE YA NANI BAADA YA KUHARIBIWA MAZINGIRA?
JAMII ILITAZAME HILI KWA MTIZAMO MPYA NA TUNAIUNGA SERIKALI KWA KUWACHUKULIA HATUA HAWA NDUGU ZETU