Home
Unlabelled
zombe na washtakiwa wengine kesi ya mauaji ya wafanyabiashara dar yaendelea mahakama kuu
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
hivi bado anatumia cheo cha ukamishna msaidizi?
ReplyDeletehivi hawa kina zombe twaambiwa ni mahabusu je kuna usawa kati ya huduma wapewazo na mahabusu wengine?au wanapendelewa,mahabusu wote ni sawa
ReplyDeleteafu mbona kesi zao zinaendeshwa na kutajwa haraka wakati kuna watu wengine wanaozea mahabusu kesi zao hata hazitajwi?
HUYO JAMAA MWENYE T-SHIRT SIO CHRISTPHER BAGENI,NAONA AMEKONDA SANA ALIKUWA AFANDE WANGU HUKO MOSHI,BWANA ALIKUWA ANANATA HUYO
ReplyDeleteHuyo jamaa anaonekana aliyeshikiliwa ameshajichokea kwa ugonjwa, ndugu hakimu kwa nini asiachiewe tu huyo. Kwa maisha ya jela hawezi kupata matibabu mazuri. Kwa hisani yangu nakuomba umtoe jela.
ReplyDeletena mechi imekwisha,,,,upande wa washtakiwa wameshinda kwa bao 10 dhidi ya washtaki 0,,,
ReplyDeletena habari ndo iyo