kamishna msaidizi wa polisi abdallah zombe akitoka mahakama kuu jana chini ya ulinzi mkali wa askari magereza huku akionesha makabrasha. chini ni washtakiwa wengine wa kesi hiyo ya mauaji ya wafanyabiashara inayoendelea mahakamani hapo



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. hivi bado anatumia cheo cha ukamishna msaidizi?

    ReplyDelete
  2. hivi hawa kina zombe twaambiwa ni mahabusu je kuna usawa kati ya huduma wapewazo na mahabusu wengine?au wanapendelewa,mahabusu wote ni sawa
    afu mbona kesi zao zinaendeshwa na kutajwa haraka wakati kuna watu wengine wanaozea mahabusu kesi zao hata hazitajwi?

    ReplyDelete
  3. HUYO JAMAA MWENYE T-SHIRT SIO CHRISTPHER BAGENI,NAONA AMEKONDA SANA ALIKUWA AFANDE WANGU HUKO MOSHI,BWANA ALIKUWA ANANATA HUYO

    ReplyDelete
  4. Huyo jamaa anaonekana aliyeshikiliwa ameshajichokea kwa ugonjwa, ndugu hakimu kwa nini asiachiewe tu huyo. Kwa maisha ya jela hawezi kupata matibabu mazuri. Kwa hisani yangu nakuomba umtoe jela.

    ReplyDelete
  5. na mechi imekwisha,,,,upande wa washtakiwa wameshinda kwa bao 10 dhidi ya washtaki 0,,,

    na habari ndo iyo

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...