MSANII ALI KIBA AKIWA NA PROMOTA BOB GADI BAADA YA KUTUA JANA JIJINI DUSSERDORF UJERUMANI TAYARI KWA MAKAMUZI ULAYA.


KESHO JUMAMOSI 21 MARCH ATAKUWA PARIS-UFARANSA,TAREHE 28 MARCH ATAKUWA TURNHOUT-UBELIGIJI

(WAKAZI WA BRUSSELS,ANTWERPEN,LEUVEN NA VIJIJI VYAKE MSIKOSE SHOW NI MOJA TU)

RATIBA KAMILI INAFUATA.
INFO:+31634236408

EMAIL

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. Hao Mapromota walete cds, za kuuza, tshirts na postaz za wasanii, sio wanakuja kupafom to, ili kuongeza pochi, tujifunze kwenda na wakati. unasikiliza nyimbo halafu hata cd ya kununua haipo ukumbini.

    ReplyDelete
  2. Niko nyuma kidogo kwenye mambo ya burudani na kila nikiona kama hii picha huwa najiuliza huwa ana perform namna gani. Je anakundi la la wanamuziki, na wapiga vyombo etc, au anaimba nyimbo za kurekodiwa. Tafadhali naomba mtu anifafanulie maanake naonaga msaani mmoja tu kwenye hizi picha and I was wondering how he does it.

    ReplyDelete
  3. Mdau namba mbili hapo juu kama ukifuatilia vizuri utaona pia picha za akiwa ana perform.

    Mfano kijana huyu last time alifanya tour ya nguvu Ulaya na Marekani.

    Bofya link ifuatayo hapo chini uone akiperform:

    http://tinyurl.com/Ali-Kiba-performing

    Kama unavyoona hapo juu alikuwa anaperform peke yake.

    Ila kama akiwa hapa nyumbani huwa ni rahisi kupata wasindikizaji kama vile stage shows wa kumsaidia kutawala jukwaa na kupamba performance.

    Music wa Bongo Fleva huwa unapendeza ukipigwa moja kwa moja kwa CD. Kuna wengine wanajaribu kutumia vyombo vya music wa dansi kama vila magitaa, ngoma na keyboards ila muziki unaotoka unakuwa mbaya sana ... ile ladha ya Bongo Fleva inapotea kabisa.

    Value ya mwanamuziki inakuwa uwepo wake jukwaani, na umahiri wake wa kutawala jukwaa.

    ReplyDelete
  4. Anony wa kwanza nimependa sana comment yako iko very constructive. Hata mimi sielewi kwanini hawa ndugu hawatumii hii nafasi ya performances kibiashara zaidi?

    Promoters badilikeni jamani, tshirts, cds na mengineyo kibao mwaweza uza wakati wa shoo kwa ajili ya kuwatangaza zaidi wasanii na Tanzania at large.

    Anony wa pili hawapigi live mzee wanatumia CD's ndio maana unaona mwanamziki mmoja.

    ReplyDelete
  5. Si mlima kilimanjaro tu ambao wakenya wanadai upo kwao bali hata mastar kama Ali kiba wanadai wanatoka kenya.Jana nilikutana na wakenya club wakadai Ali kiba,kylnn,nakaaya ni wakenya watokao Mombasa.Inabidi tuwatangaze hawa ndugu zetu kimataifa kuwa wanatoka Tanzania na si kenya LOL.

    ReplyDelete
  6. kiba mwako wako ndugu yangu.. am sure hakuna msanii wa tz alyepata bahat y kupiga show nyingi europe kama ww!! swali langu je wanakulipa pesa nzuri kweli?

    ReplyDelete
  7. Anon wa 9:59 nakuunga mkono kuhusu ishu ya wakenya,na ndio maana hata hapo juu imeweka bendera ya Kenya tu,je hao wote wawili hapo wanatokea Kenya?au inamaanisha nini.

    ReplyDelete
  8. anony wa pili ni kwamba mziki usharekodiwa kwenye cd (instruments) yeye kazi yake ni kuimba tu hana haja ya kubebana na magitaa,ngoma na kadhalika kwani ni gharama sana na inahitaji team ya wanamziki wenye ujuzi wa kupiga vyombo na waimbaji .kilakitu kinakuwa kimerekodiwa kwenye cd yeye ni kuimba tu ikipigwa hiyo cd

    ReplyDelete
  9. An.7:58 am, march 21. Thanks kwa kukbaliana nami,they need to do some about that.siku njema.
    First An.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...