MSANII ALI KIBA AKIWA NA PROMOTA BOB GADI BAADA YA KUTUA JANA JIJINI DUSSERDORF UJERUMANI TAYARI KWA MAKAMUZI ULAYA.
KESHO JUMAMOSI 21 MARCH ATAKUWA PARIS-UFARANSA,TAREHE 28 MARCH ATAKUWA TURNHOUT-UBELIGIJI
(WAKAZI WA BRUSSELS,ANTWERPEN,LEUVEN NA VIJIJI VYAKE MSIKOSE SHOW NI MOJA TU)
RATIBA KAMILI INAFUATA.
INFO:+31634236408
INFO:+31634236408
EMAIL
Hao Mapromota walete cds, za kuuza, tshirts na postaz za wasanii, sio wanakuja kupafom to, ili kuongeza pochi, tujifunze kwenda na wakati. unasikiliza nyimbo halafu hata cd ya kununua haipo ukumbini.
ReplyDeleteNiko nyuma kidogo kwenye mambo ya burudani na kila nikiona kama hii picha huwa najiuliza huwa ana perform namna gani. Je anakundi la la wanamuziki, na wapiga vyombo etc, au anaimba nyimbo za kurekodiwa. Tafadhali naomba mtu anifafanulie maanake naonaga msaani mmoja tu kwenye hizi picha and I was wondering how he does it.
ReplyDeleteMdau namba mbili hapo juu kama ukifuatilia vizuri utaona pia picha za akiwa ana perform.
ReplyDeleteMfano kijana huyu last time alifanya tour ya nguvu Ulaya na Marekani.
Bofya link ifuatayo hapo chini uone akiperform:
http://tinyurl.com/Ali-Kiba-performing
Kama unavyoona hapo juu alikuwa anaperform peke yake.
Ila kama akiwa hapa nyumbani huwa ni rahisi kupata wasindikizaji kama vile stage shows wa kumsaidia kutawala jukwaa na kupamba performance.
Music wa Bongo Fleva huwa unapendeza ukipigwa moja kwa moja kwa CD. Kuna wengine wanajaribu kutumia vyombo vya music wa dansi kama vila magitaa, ngoma na keyboards ila muziki unaotoka unakuwa mbaya sana ... ile ladha ya Bongo Fleva inapotea kabisa.
Value ya mwanamuziki inakuwa uwepo wake jukwaani, na umahiri wake wa kutawala jukwaa.
Anony wa kwanza nimependa sana comment yako iko very constructive. Hata mimi sielewi kwanini hawa ndugu hawatumii hii nafasi ya performances kibiashara zaidi?
ReplyDeletePromoters badilikeni jamani, tshirts, cds na mengineyo kibao mwaweza uza wakati wa shoo kwa ajili ya kuwatangaza zaidi wasanii na Tanzania at large.
Anony wa pili hawapigi live mzee wanatumia CD's ndio maana unaona mwanamziki mmoja.
Si mlima kilimanjaro tu ambao wakenya wanadai upo kwao bali hata mastar kama Ali kiba wanadai wanatoka kenya.Jana nilikutana na wakenya club wakadai Ali kiba,kylnn,nakaaya ni wakenya watokao Mombasa.Inabidi tuwatangaze hawa ndugu zetu kimataifa kuwa wanatoka Tanzania na si kenya LOL.
ReplyDeletekiba mwako wako ndugu yangu.. am sure hakuna msanii wa tz alyepata bahat y kupiga show nyingi europe kama ww!! swali langu je wanakulipa pesa nzuri kweli?
ReplyDeleteAnon wa 9:59 nakuunga mkono kuhusu ishu ya wakenya,na ndio maana hata hapo juu imeweka bendera ya Kenya tu,je hao wote wawili hapo wanatokea Kenya?au inamaanisha nini.
ReplyDeleteanony wa pili ni kwamba mziki usharekodiwa kwenye cd (instruments) yeye kazi yake ni kuimba tu hana haja ya kubebana na magitaa,ngoma na kadhalika kwani ni gharama sana na inahitaji team ya wanamziki wenye ujuzi wa kupiga vyombo na waimbaji .kilakitu kinakuwa kimerekodiwa kwenye cd yeye ni kuimba tu ikipigwa hiyo cd
ReplyDeleteAn.7:58 am, march 21. Thanks kwa kukbaliana nami,they need to do some about that.siku njema.
ReplyDeleteFirst An.