wadau kibao walijitokeza katika msako wa bongo star search tanga wikiendi hii
hawa ndio washindi wanne wa tanga wa BSS

Vodacom Tanzania pamoja na uongozi mzima wa Bongo Star Search 2009 tunawashukuru wale wote waliojitokeza kujiandikisha na kufanya usaili pale Tanga na tunawatakia kila la kheri kwa wale washindi wane waliofuzu mchujo. Wakazi na wale wote wenye vipaji vya uimbaji kaeni tayari kwani sasa Vodacom Tanzania inahamishia kinyang’anyiro cha Bongo Star Search 2009 mjini Kigoma tarehe 7 na 8 Machi 2009.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Huyu jamaa wa pili kutoka kushoto keshaanza kubinua midomo mapemaaaaaaaaaaaa, yaani utadhani ye ndo mshindi BSS 2009

    ReplyDelete
  2. haha kweli huyu dogo wa pili shoto naona kesha jiona bonge la super star huyu hafiki mabali

    ReplyDelete
  3. salama hayupo hainogi ata

    ReplyDelete
  4. wangekuwa pia wanafanya mashindano ya watoto kwenda shule na kufanya vizuri ingekuwa vizuri zadi maana hata kama ukiwa mshindi wa star search kwa nchi yetu mziki haulipi ni bora shule zaidi

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...