Home
Unlabelled
pinda atembelea ubalozi wetu london
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Huyu Kilumanga ni mpiganaji mahiri sana katika nyanja za kidiplomasia na ushushushu.
ReplyDeleteJK mpe Ubalozi kamili huyu jamaa, ni hazina adimu katika Taifa letu.
Big Up Kilumanga
Mhe. ni kama vile anashangaa tu anasema alaaa kumbe huku ndo mnajificha kwenye maskyscrapper namna hii daahhh!!! tehetehehe
ReplyDeleteDuh londoni kule kuzuri...na hao wakwetu wamefika vipi kule?nasikia wanajiita wasomali,jamani hebu nithibishieni!
ReplyDeletembona hatukutaarifiwa kuhusu mkutano huo?
ReplyDeleteswali la kizushi: wasiokuwepo kwenye picha (kasoro k na m) sio wafanyakazi wa ubalozi?
ReplyDeletehuyo wa pili kulia..nilimuona nilivyoenda ubalozini mwaka jana....kutengeneza passport HE IS SOOO FUNNY JAMANI,,,,yaani ni full vicheko!mtundu sana..
ReplyDeleteMichu, Anaitwa Chabaka Kilumanga na sio Ghabaka kama ilivyoandikwa!
ReplyDeleteMANOWAJUA MAJINA YAO TUTAJIENI BASI. MAANA SISI WENGINE TUNAMJUA BALOZI TU HAPO. TUPENI MAJINA YAO PLEASE.
ReplyDeleteBig up mkubwa PINDA rudi basi tuje ku dili na hawa wanaoua MAALBINO
ReplyDeleteKaka Chabaka bado unadunda tu
ReplyDeletehaki ya naniiino vile,,,yan mmeshiba mitumbo hiyo???
ReplyDeleteuko ina maana hakukutana na wa-bongo icho kikao?au ndo wamewakilishwa na ao apo juu??
WM Pinda afanana na Comrade Rais Robert Gabriel Mugabe!
ReplyDeleteWM Pinda afanana na Comrade Rais Robert Gabriel Mugabe!
ReplyDelete