
. Manyema ilirejea ligi hiyo baada ya leo kuifunga Mwanza United mabao 2-0 katika mchezo uliofanyika Uwanja wa Uhuru, Dar, katika mfululizo wa michezo ya fainali za ligi hiyo.
Kutokana na ushindi huo Manyema iliyoshuka daraja mapema mwaka jana, imefikisha pointi 16 ikishika nafasi ya tatu nyuma ya Majimaji yenye pointi 16 na African Lyon yenye pointi 17, hivyo kuungana na timu hizo mbili kucheza Ligi Kuu ya Vodacom msimu ujao.
Uwanja wa Uhuru ni upi? Ninao ujua mimi ni shule ya uhuru ambao ahuna njia kama izo.
ReplyDeleteHongera manyema FC
ReplyDelete