Home
Unlabelled
JK akutana na wizara ya nishati na madini
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Ukumbi wa mikutano uko juu! Hakuna sababu ya kwenda kufanyia vikao kazi Bagamoyo na Arusha!
ReplyDeletePlease pass this to JK .........
ReplyDeleteKaza buti JK.....lakini mambo ya kwenda bandarini na kudai kuwa una majina ya wanakula rushwa mtu wangu umekaanga. Kama kiongozi wa ngazi yako lakufanya ni kukamua juu wa chini wanaipata. Ukitaka ku-micromanage utashindwa matokeo yake utajikuta unazeeka mapema. Take my advice, or even better give me the job ..... Utaona kazi.
Lakini nafikiri JK ulitakiwa kuwashikisha adabu wale jamaa wa bandarini ON THE SPOT....kuhusu EWURA naomba pia uangalie nmna ya utendaji wao wa kazi-zingatia hilo.
ReplyDeleteHakuna hata mmoja kati ya hawa jamaa mwenye nia ya kuliletea Taifa manufaa, wote wanachojua na kukifanya ni kujitajirisha wao na familia zao.
ReplyDeleteMheshimiwa JK kazi unayo!!!!!!!!!
Bandari ni muhimu sana katika uchumi wa Tanzania. Kwa hio mheshimiwa alivyokwenda kule bandari sio tu kupiga mkwara kwa walaji bali amewaonesha wawekezaji kwamba hata kiongozi wa nchi yuko serious kuhusu utatuaji wa tatizo hili. Kwa hio sikubaliani na mdau hapo juu anaesema kwamba alikua hana haja ya kwenda huko!! In bongo, delegation doesn't work, you have to follow up at every level!!!
ReplyDeleteDo we realy know even What to do with our Mineral Deposits?Kiss my Ass!Mnachozungumzia hapo kuhusu Wizara ya Madini ni nini?Ukifika katika maeneo ya Machimbo ya Madini ya Wachimbaji Wadogo wadogo ( small scal miners )na uangalie mazingira yao ya kufanyia kazi na kiwango cha ufukara na umaskini uliowazingira,hakika utatoa machozi!Kitu cha kwanza utakacho fikiria akilini mwako ni "Je,nchi hii kuna serikali kweli,au tunafanya utani?".Look at how we have been toying around with our gold deposits,in these critical historical moments of global recession?We dont even know what to do with the gold!Tunalalamika umaskini,shilingi imedorora kishenzi!Uchumi gani mnao zungumzia kila siku jamani?Mawazo yako katika kuchapisha Noti Mpya tu kila siku!Uzalishaji hakuna,bakia MaliKauli!Kama sekta ya Madini imetushinda,ni lipi jingine hilo tutakalo weza?
ReplyDelete