ujumbe wa mkutano wa leo wakijiandaa kumpa Rais wa Zanzibar briefing usiku wa kuamkia leo jijini London.
Rais wa Zanzibar Mh. Amani Abeid Karume akipewa briefing za mkutano wa leo kutoka kwa Mheshimiwa Balozi wa Tanzania-Uingereza, Mama Mwanaidi. S. Maajar, Mawaziri na Wajumbe mzima wa Tanzania katika Mkutano wa Uwekezaji kwa Nchi za Afrika ya Mashariki ambao unaanza asubuhi hii n katika Ukumbi wa Guildhall-London.
mkutano elekezi wawendelea


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...