Kaka michuzi pole na majukumu,
Wadau wengi huwa wanapenda kutembelea website na blog za bongo ila inakuwa ngumu kujua address zote.
Leo mimi nimeamua kuwapa kama zawadi ya Maulid wadau wote kwa address za website na blog za hapa bongo na nyingine muhimu za nje.
naomba warushie wadau
Watembelee
Mdau UncleSam
EBO!!!!!!!!!!mbona zeutamu haipo
ReplyDeletesio ze utamu tu, nyingine kibao hazipo,??
ReplyDeletekama kona ya afya
Pekua zaidi. Naona nyingi tu bado hazipo. Tafuta ile orodha ya GV Tanzania na huko utapata zote zile za karibuni na kongwe.
ReplyDeletePekua zaidi. Naona nyingi tu bado hazipo. Tafuta ile orodha ya GV Tanzania na huko utapata zote zile za karibuni na kongwe.
ReplyDeleteKama kuna anaefahamu blogs za wa bongo sweden nitafurahi iwapo utazitundika hapa. Niliomba kwa mr. supu na mjengwa wakaniweka kapuni...
ReplyDelete