Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. HALLELUYAH!!!!

    ReplyDelete
  2. Aiiiiiiimeeenn

    ReplyDelete
  3. uko kupelekana mahakamani ni danganya wadanganyika tu, hilo zowezi linafanywa ili kuuridhisha uma, lakini ukweli unajulikana hakuna yeyote yule kati ya hao wanaofikishwa mahakamani ataukumiwa kifungo hapo, kama hamuamini tusubiri kama wake akina pesambili na yona watafikishwa tena mahakamani,mtego wa hilo zowezi ni mrahisi tu kinachotakiwa ni kuhakikisha kuwa kila mara wakifikishwa mahakamani ni sura mpya ili kuupa uma muda wa kuzisahau zile sura za zamani. tokalini ukaona mtu mwenye akili timamu akakata tawi alilolikalia wewe michuzi?

    Mbega hapa hasira kibao yani

    ReplyDelete
  4. Natamani hao viongozi wetu wawe kweli wamefika hatua ya kufikiri hivyo sasa, tutakuwa tunamepiga hatua mbele; kwani haya hayakuweza kufikiriwa miaka hata mitatu iliyopita.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...