Home
Unlabelled
kp leo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
samahani fungua kurasa ya kuchangia mawazo kuhusu jumuiya ya wanablogu tanzania.
ReplyDeletehttp://blogutanzania.blogspot.com/
www.ringojr.wordpress.com
chema chajiuza,kibaya chajitembeza, sasa hayo maoni ya anony wa hapo juu yanauhusiano gani na post ya kipanya kwa bro mithupu.
ReplyDeletekutembelea blog hakupigiwi debe,bali mambo yaliyomo ndani yake na mtirirkowa matukio huvuta waanajamii. ombeni ushauri kwa mtu mzima hapa kabla ya kuanzisha hizo blogilinyo.
hata mie naunga mkono Anon wa march 10, 12:28PM muwe mnamuomba ruhsa Michuzi na Blog zenu jamani. Kuhusu Kipanya Katuni yako ni nzuri. sema wasije kuruhusu watu kuwa na wake au waume ndani ya jela itakuwa si jela tena.
ReplyDeleteWanadamu watakuwa wanafanya kusudi wengine wanaona maisha rahisi jela kuliko nje wengine jela wanapata chakula na kama ndio kuonana na mwanamke sio ndio wamemrahisisha kutokuogopa kufanyau jinga wake nje?.