Home
Unlabelled
sagula sagula ya karne
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Jamaa hawajmsachi mifuko huko Manzese? Au hata kumpiga roba? Basi km hayo yote hayakutokea basi siku hizi Manzese ni wastaarabu.
ReplyDeleteEeh alisagula mpaka jeki!! Maana naziona hizooo zachungulia
ReplyDeletePhoto opportunity tuu hamna lolote as if they really care our people having to wear secondhand Underpants! Crunch is just round the corner, when it reveals its true potential only a few strong will survive
ReplyDeleteHuyu jamaa kweli alikuwa ananunua hii mitumba ama alikuwa anacheki nini? Saa zingine hawa jamaa sio wa kuwaamini sana. Mbona kama anacheki lebal, kunaambazo wanatutegea nini? Kama alikuwa kweli ananunua kwa moyo basi ni faraja kwetu tutembeleao sehemu hizo kwamba hata wakubwa wa dunia nao wanazijua :)
ReplyDeletena hizo hpo kichwani zinazoning'inia ni sidiria?naona umeuchuna kutuambia
ReplyDeleteTo be honest jamaa hanunui anainvestigate mitumba inayoingia tz ikoje ili apate kujengea hoja
ReplyDeletemdau netherlands
hawa wanatuchora tu, hamna lolote nasisi tunakubali.
ReplyDeleteMitumba siku hizi Bongo ni biashara kubwa. Lakini kuna wakati walikuwa wanapinga mitumba kwa kusema eti zimetiwa dawa kufanya watu wawe punguani, ni nguo za watu waliokufa, na wigi ziliitwa nywele ya maiti! Mzee Ruksa ndiye aliruhusu mitumba iingie kwa wingi ilikupunguza shida tuliyokuwa nao enzi zile. Watu walikuwa wanavaa nguo zilizotengenezwa na gunia, na viatu vya matairi!
ReplyDeletehaki ya mama
ReplyDeletesidiria zinachungulia apo,izo mbili ya pink na nyeupe
hahahahaaaa
yan wanatuchora adi kero