Home
Unlabelled
kp leo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Kaka Michuzi hii kali. Hawa jamaa wa katuni huwa wananifurahi sana kwa ubunifu wao.
ReplyDeleteMkuu wa Wilaya,
ReplyDeleteKwa heshima na taadhima ya wadau naomba utusaidie kupata picha ya gari la Kanumba kama linavyoonekana baada ya kuharibiwa na "kichaa" Wema binti Sepetu.
Asante.
Hata Brother Kikwete alikataa lisifanyike hilo kwahiyo mpe shukurani zake alijitahidi kupiga kelele usifunguliwe mashitaka lakini wapi Nazi haishindani na jiwe wacha sheria ifuate mkondo gadafi na kikwete watakutete ukiwa the huge
ReplyDeletehuyu bashir lazima apelekwe maana ndiye aliyesababisha vifo na watuktesekahuko sudan na bado anazuia misaada,hilo litakuwa fundisho kwa afrika na dunia nzima kwamba jicho la dunia linakuona.
ReplyDelete