mashabiki na wachezaji wa klabu ya watoto wa kariakoo ya manyema fc wakishangilia baada ya kufanikiwa kuchumpa tena ligi kuu ya bara kwa kuishinda timu ya mwanza unite 2-0 katika mchezo wa fainali uliochezwa leo uwanja wa uhuru.

. Manyema ilirejea ligi hiyo baada ya leo kuifunga Mwanza United mabao 2-0 katika mchezo uliofanyika Uwanja wa Uhuru, Dar, katika mfululizo wa michezo ya fainali za ligi hiyo.
Kutokana na ushindi huo Manyema iliyoshuka daraja mapema mwaka jana, imefikisha pointi 16 ikishika nafasi ya tatu nyuma ya Majimaji yenye pointi 16 na African Lyon yenye pointi 17, hivyo kuungana na timu hizo mbili kucheza Ligi Kuu ya Vodacom msimu ujao.


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Uwanja wa Uhuru ni upi? Ninao ujua mimi ni shule ya uhuru ambao ahuna njia kama izo.

    ReplyDelete
  2. Hongera manyema FC

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...