Pole kwa kazi kaka Michuzi.Naomba unipatie nafasi ktk blog yako ili kupata msaada kutoka kwa wadau.
Nina rafiki yangu kutoka UK,alinifuata na kuniambia kuwa anatafuta nyimbo yeyote ya kiingereza iliyoimbwa na mwana muziki yeyote kutoka Afrika na ingekuwa vizuri zaidi kama atakuwa ni wa kutoka nchini kwangu (Tz).Kwa kweli sikuwa na nyimbo yeyote ya kiingereza kutoka Tz,ila niliahidi kumtafutia.
Kwa hiyo ninaomba kama kuna yeyote anayefahamu nyimbo yeyote ya kiingereza kutoka Tanzania anisaidie au anipatie jina la wimbo na muimbaji.Nina nyimbo nyingi tu za kiingereza kutoka Africa lkn ningependa sana kumpatia ya kutoka nchini kwangu.
Ni hayo tu kwa leo,kazi njema.
Mdau,
TLS,FR.
Mdau . Kuna mwimbaji wa Kitanzania anaitwa Emanuel Nkulila, ameimba nyimbo kama Hello na The pain in me. Nenda www.eastafricantube.com ,tafuta utakuta wimbo wake wa "pain in me"..Kila la kheri!!
ReplyDeleteHello mambo jmn mm nautafuta sana huo wimbo but nimeshindwa kuupata pls pls pls nisaidie namna ya kuupata
Deletenyimbo ipo na inaitwa "you are always welcome to zanzibar" ambayo imeimbwa na Chimbeni Kheri katika culture musical club, Zanzibar
ReplyDeletemdau unataka wimbo wa aina gani?
ReplyDeletebongo flava kuna "performer" wa ngwair na TID
kuna mr politician wa nakaaya, ameimba kiingereza na kiswahili
nikifikiria zingine ntakupa....
Hahaha.... Huyo mpatie ya Dr Remmy Ongala, I wish to go back Home ili ajifunze na kiswahili pia.
ReplyDeleteAsenti
mdau ungewaandikia Basata wakusaidie wpo wengi tu hata wkina Karola Kinasha Wameimba
ReplyDeleteSauda Simba Kilumanga na Caroline Kinasha wana nyimbo kibao walizoimba kwa Kiingereza, ila inabidi uzinunue sio za bure!
ReplyDeleteMzalendo
mdau kama huyo rafiki yako anao mshiko mlete kwangu mimi nitamuimbia live hio nyimbo kwa kiingereza
ReplyDeletepia unaweza kumsikiliza dogo mmoja hivi alikua kwenye kikundi cha park lane zamani sasa anafanya kazi peke yake. anaitwa c pwaaa anafanya siku hizi bongoflava kwa kiingereza na anachanganya kidogo na kiswahili kama kuna track yake moja inaitwa revenge ni amefanya kiingilish kitupu musikilie hapa copy and paste hii link http://profile.myspace.com/index.cfm?fuseaction=user.viewprofile&friendid=214133407
ReplyDeletewimbo JAH SPIRIT wa Justine Kalikawe (R.I.P) nadhani utakufaa.
ReplyDeletekama ni jina la msanii na jina la wimbo ushapewa!!!
ReplyDeletelakini kama wataka wimbo,koma tena KOMA vya bure na uyo mzungu wako km wataka kufilisi wabongo wezio,MNUNUE IZO NYIMBO,YANI UYO SHEFA LAKO ANUNUE KABISA sio kukosesha mapato wa-bongo
ENSI MWALUKASA wimbo "my home"full kiinglishi,nk nk for gospel musics
ushanfahamu wewe???
(..jaribu kuimba kwa sauti kavu ila ya puani):'mwalimu kasema iti ken bee daan, plei yua paaatii..mwalimu kasema iti ken be daaaani, plei yua paaatiii'...hivi huu bado wapatikana? hebu wadau saidieni jinsi ya kumpatia huu!...
ReplyDeleteUZENG
Innocent Galinoma, "Kilimanjaro".
ReplyDeleteStanding on the mountain top
of Mt Kilimanjaro
The highest mountain in Africa....
wadau nashukuru sana kwa msaada wenu,mpaka sasa nimeweza kufanikiwa kupata nyimbo kutoka kwa Cpwaa na Emanueli Nkulila
ReplyDeleteAnon wa March 05, 2009 3:50 PM asante kwa link ya Cpwaa.
Anon wa March 05, 2009 12:59 PM asante kwa link ya Nkulila
Kama kuna zaidi, tusaidiane wadau!
Mdau TLS,FR.
siku ni hii x 2 bwana ameifanya x2 furahini shangilieni
ReplyDeletesasa mwimbie kwa kidhungu
na ule if you are happy and u know claps ur hands
lol hizo ni free zingine mwambie anunue.....frugal
Nyie, Nkulila is a joke!
ReplyDeleteTafuta mwimbo wa "Zanzibar" aliimba mzaliwa wa Unguja na aliuimba akiwa na bandi ya "Queen"
Vilevile, Innocent Galinoma Mfalingundi ana album kama tatu hivi katika miondoko ya Reggae, mmojawapo ndio huo "Kilimanjaro", but "Full Moon Rising" is my personal favorite!
MR.PAUL ANA NYIMBO AMEIMBA KWA KIINGEREZA PIA...
ReplyDeleteSijui nimechelewa kucomment lakini wacha niandike. kibao cha KILIMANJARO cha INNOCENT GALINOMA kimetulia sana tena sana. Standing on the mountain top of mount kilimanjaro the highest mountain inAfrica there i see a vision.
ReplyDeleteNImemaliza.