Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwa na baadhi yawatumishi wa Ofisi ya Ubalozi wa Tanzania nchini Uingereza wakati alipotembelea Ofisi hizo jana na kuzungumkza na watumishi na baadhi ya watanzania waishio nchini humo. Kulia kwake ni balozi wa Tanzania nchini Uingereza, Balozi Mwanaidi Majaar
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Balozi wa Tanzania nchini Uingereza, Mwanaidi Majaar (katikati) na Naibu Balozi wa Ubalozi huo, Ghabaka Kilumanga baada ya kuwasili kwenye ubalozi huo jijini London jana na kuzungumza na wafanyakazi wa ubalozi huo na baadhi ya wanatanzania waishio nchini Uingereza


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 13 mpaka sasa

  1. Huyu Kilumanga ni mpiganaji mahiri sana katika nyanja za kidiplomasia na ushushushu.
    JK mpe Ubalozi kamili huyu jamaa, ni hazina adimu katika Taifa letu.
    Big Up Kilumanga

    ReplyDelete
  2. Mhe. ni kama vile anashangaa tu anasema alaaa kumbe huku ndo mnajificha kwenye maskyscrapper namna hii daahhh!!! tehetehehe

    ReplyDelete
  3. Duh londoni kule kuzuri...na hao wakwetu wamefika vipi kule?nasikia wanajiita wasomali,jamani hebu nithibishieni!

    ReplyDelete
  4. mbona hatukutaarifiwa kuhusu mkutano huo?

    ReplyDelete
  5. swali la kizushi: wasiokuwepo kwenye picha (kasoro k na m) sio wafanyakazi wa ubalozi?

    ReplyDelete
  6. huyo wa pili kulia..nilimuona nilivyoenda ubalozini mwaka jana....kutengeneza passport HE IS SOOO FUNNY JAMANI,,,,yaani ni full vicheko!mtundu sana..

    ReplyDelete
  7. Michu, Anaitwa Chabaka Kilumanga na sio Ghabaka kama ilivyoandikwa!

    ReplyDelete
  8. MANOWAJUA MAJINA YAO TUTAJIENI BASI. MAANA SISI WENGINE TUNAMJUA BALOZI TU HAPO. TUPENI MAJINA YAO PLEASE.

    ReplyDelete
  9. Big up mkubwa PINDA rudi basi tuje ku dili na hawa wanaoua MAALBINO

    ReplyDelete
  10. Kaka Chabaka bado unadunda tu

    ReplyDelete
  11. haki ya naniiino vile,,,yan mmeshiba mitumbo hiyo???
    uko ina maana hakukutana na wa-bongo icho kikao?au ndo wamewakilishwa na ao apo juu??

    ReplyDelete
  12. WM Pinda afanana na Comrade Rais Robert Gabriel Mugabe!

    ReplyDelete
  13. WM Pinda afanana na Comrade Rais Robert Gabriel Mugabe!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...