mkurugenzi mkuu wa shirika la fedha duniani a.k.a imf akichagua viwalo katika soko la mitumba mtaa wa madizini huko manzese, dar, ikiwa ni sehemu mojawapo alizotembelea. leo yupo katika ukumbi wa mikutano wa twin towers za bot katika mkutano wa imf na afrika

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. Jamaa hawajmsachi mifuko huko Manzese? Au hata kumpiga roba? Basi km hayo yote hayakutokea basi siku hizi Manzese ni wastaarabu.

    ReplyDelete
  2. Eeh alisagula mpaka jeki!! Maana naziona hizooo zachungulia

    ReplyDelete
  3. Photo opportunity tuu hamna lolote as if they really care our people having to wear secondhand Underpants! Crunch is just round the corner, when it reveals its true potential only a few strong will survive

    ReplyDelete
  4. Huyu jamaa kweli alikuwa ananunua hii mitumba ama alikuwa anacheki nini? Saa zingine hawa jamaa sio wa kuwaamini sana. Mbona kama anacheki lebal, kunaambazo wanatutegea nini? Kama alikuwa kweli ananunua kwa moyo basi ni faraja kwetu tutembeleao sehemu hizo kwamba hata wakubwa wa dunia nao wanazijua :)

    ReplyDelete
  5. na hizo hpo kichwani zinazoning'inia ni sidiria?naona umeuchuna kutuambia

    ReplyDelete
  6. To be honest jamaa hanunui anainvestigate mitumba inayoingia tz ikoje ili apate kujengea hoja

    mdau netherlands

    ReplyDelete
  7. hawa wanatuchora tu, hamna lolote nasisi tunakubali.

    ReplyDelete
  8. Mitumba siku hizi Bongo ni biashara kubwa. Lakini kuna wakati walikuwa wanapinga mitumba kwa kusema eti zimetiwa dawa kufanya watu wawe punguani, ni nguo za watu waliokufa, na wigi ziliitwa nywele ya maiti! Mzee Ruksa ndiye aliruhusu mitumba iingie kwa wingi ilikupunguza shida tuliyokuwa nao enzi zile. Watu walikuwa wanavaa nguo zilizotengenezwa na gunia, na viatu vya matairi!

    ReplyDelete
  9. haki ya mama
    sidiria zinachungulia apo,izo mbili ya pink na nyeupe

    hahahahaaaa

    yan wanatuchora adi kero

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...