Hii ni Bend ya Orchestra Mwanza Carnival ya jijini Mwanza ikitumbuiza katika mashindano ya Mitumbwi ya upigaji makasia katika Mwalo wa Kirumba. Kushoto ni Ally Yahaya ambaye alikuwa katibu wa bendi hiyo akifuatiwa na Beno Villa kiongozi mkuu wa Bendi na wanamziki wengine wakiimba. Kwa sasa Benovilla na Ally Yahaya hawako tena na Bendi hiyo kwani wameanzisha Bendi Mpya ya The Ambassador Band yenye maskani yake huko Igoma Hill Front Bar. Picha na mdau Frederick M. Katulanda

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...