Nani alikueleza ujuzi unazeeka? hebu mwangalie Mama yetu Balozi na Dk. Gerturde Mongella, ambaye kitaaluma niu mwalimu, alipotembela shule ya Msingi ya Gerturde Mongella iliyopo Nyamagana, Mwanza, kata ya Pamba ambayo ilipewa jina lake aliamua kwenda kufundisha darasa la kwanza. Lakini Mhmm.... alisahau akaingia na mkoba darasani. Picha na mdau Frederick M. Katulanda



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. DR NANI???
    NAOMBA USEME TENA DR WHO? dissertation YAKE NI IPI? NA WAPI

    ReplyDelete
  2. Sasa kakaangu, ulitaka mkoba aache mlangoni? Labda ungesema auweke juu ya meza....

    ReplyDelete
  3. Mhh, ndio hasahau kazi yake, lakini maslahi yapo. Hapo per diem na...

    ReplyDelete
  4. We wa Kwanza mjinga tu...

    Ni Dr Mongella...sasa?

    Yoyote mwenye PHD ni Dr..sasa? Mshamba tu wewe

    ReplyDelete
  5. Alisahau au aliogopa vibaka....? walimu hawajalipwa miezi kebe huo mgoba tu bila kuangalia simu iliyopo humo ndani inalisha mwalimu na familia yake kwa mwezi mzima huko aliko.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...