Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira Dk. Batilda Burian akiwa na Gavana Mkuu wa Australia, Quentin Bryce na Shymaa (mtoto wa Waziri) alipokwenda kumuaga katika Hotel ya Kempinski leo asubuhi.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. NIMEMPENDA SANA MTOTO NA NYWELE ZAKE YAANI KATOKA BOMBA KINOMA

    ReplyDelete
  2. Mheshimiwa Buriani unapendezaga sana jinsi unavyovaa, keep it up mama

    ReplyDelete
  3. Oya mbona huwwa hutoi coments zangu...au una ubia na huyu......?

    ReplyDelete
  4. MAMA LEMBA,MTOTO RASTA.

    ReplyDelete
  5. endelea kujihifadhi.mama burian.
    mdau.ustadh.

    ReplyDelete
  6. kaka michu sijakufahamu yaani buriani ni jina lake au buriani amelala?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...