toleo la mwanzo la kwanza jamii
TAHARIRI: HUU NDIO MSIMAMO WETU
NDUGU Msomaji, siku ya Machi 31, 2009 , Tanzania kama nchi imeendelea kufurahia uhuru wa kutoa maoni kwa njia ya vyombo vyahabari. Hii ni kwa kuwa na gazeti jipya na huru la ‘Kwanza Jamii’.

Hivyo basi, unalolisoma sasa kwa mara ya kwanza ni gazeti la ‘ KwanzaJamii’. Kama ilivyo kwa jina lake, ni gazeti la jamii, ni gazeti lako.

Soma zaidi;

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. HONGERA MJENGWA MAJJID.UNA UWEZO MKUBWA KWENYE FANI HII.JIHADHARI NA MAKALA ZA KICHONGANISHI ZA BENSON MWAKYANJALA AU MWANAKIJIJI AU LULA MWANA NZELU.JEE LINAPATIKANA ONLINE?

    ReplyDelete
  2. ...Naona timu imekamilika hiyo. Ma-proffesor Kibao! Tunategemea mambo makubwa kutoka kwao..!

    ReplyDelete
  3. Viongozi wa chama tawala wakisema "wanachama milioni 4...'watakasirika'..." sio wachonganishi, waandishi makini wakituamsha tuliolala huku nchi yote inafilisiwa wanaitwa wachonganishi!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...