
mdau kazikupenda a.k.a kk na maiwaifu wake doreen na wapambe wao kwenye mnuso wao ukumbi wa diamond jubilee hall baada ya kumeremeta jana kwenye kanisa la mtakatifu joseph dar. wapambaji ni decor place na namba zao ni +255 784 853 697

wamependaza hawajapendezaaaa...

maharusi na wazaa vyema
"samaki ana vipande vingapiiii.... vitatuuuu..."

mikonozzzz kama kawa
Yaani michuzi hizo fulana zako kwenye parties za watu unatia kinyaaaaa!! Hata kama umebadili color lakini that's boring and not fair.
ReplyDeletekaka misoup naona siku mambo t-shirt u -usimba mtupu cc yanga tutakudiliti kwenye system kaka najua uko kwa kazi poa tu
ReplyDeleteEbwana KK hongera sana, japo sikujua mshkaji wako kama unavuta jiko ila nakutakia kila la heri katika maisha mapya ya ndoa
ReplyDeleteMteja Hongera sana, naona sasa mzee umejiwekea speed limit safi sana! Naona mmependeza sana.
ReplyDeletehongera sana jamani, mungu awabariki muwe na watoto wengi waijaze nyumba yenu.
ReplyDeleteKK hongera sana mate!!
ReplyDeleteLeboz, leboz, leboz, and more leboz!!! Jamani wabongo mbona vumbi jingi (ushamba), angalia hiyo picha ya pili!!
ReplyDeletehongera sana ndugu yangu KK, naona sasa umeshakuwa mtu mzima!!!mtunze mkeo nawe akutunze
ReplyDeleteNi mimi Swala...
hongereni sana, mpependeza.
ReplyDeleteDorine, you look so beautiful.
you are such a goof girl, and hopeful good wife you will be.
All the best on the new life that you are going to start.
school mate-Kibosho
Jamani haka sio kale katoto ka handsome fulani kalikuwa kanakaa pale makutano ya barabara ya Bongoyo na Msasani road ,Oysterbay (Jirani na Primary school)?
ReplyDeleteKama kweli ni kenyewe hongera zake , nakumbuka jina hilo Kazikupenda ..wow.. inabidi na mimi nijitumbukize kwenye ndoa maana kama haka katoto nako ni mume wamtu sasa naona nime zeeka sana .
Hongereni sana.
Sasa kistoni chote cha 5M tumewowa bado mzee white tu, hongera sana mwafrika
ReplyDeleteze fulanazzzz,ze mikonozzzz safi sanaaaaa
ReplyDeletemumependeza maharusi,asa bi harusi supu-supu safi sana jitunze ivo-ivo ata ukizaa bibi unawaka
heee ukumbi umependeza so unique!!asante kwa contacts tutawatafuta
ni hayo tu...
Naomba kuuliza: Samaki ana vipande vitatu ni nini? Kiswahili kinanipiga chenga sasa kwa kukaa nje sana. Najua tu inahusika na demu au nimekosea?
ReplyDeleteDuh! Hongera sana KK, Niatua umepiga nakutakia maisha ya amani na upendo katika ndoa yako. ha ah ha ah Hivi unakumbuka kudaka kweli siku hizi. Obay. Shadrack
ReplyDeleteHongera sana KK,inakuaje jirani hata hatualikani kwenye mnuso! ni muda mrefu hatujaonana wala kuwasiliana. Ukipata hii msg fanya tuwasiliane. Msalimie sana mama Charles.
ReplyDeleteMagoha Mayagila
Dallas TX
goagear@yahoo.com
KK Hongera bwana naona umevuta shemu wa nguvu. All the best kwenye maisha mapya.
ReplyDeleteD A
Jamani hongereni kwa kuoana
ReplyDeleteRangi ya siku nzuri ila fundi aliyeshona nguo zenu amewalet chini. Inaonyesha kabisa kuwa mshono bila finishing nzuri
Mrs. Letuh