mdau kazikupenda a.k.a kk na maiwaifu wake doreen na wapambe wao kwenye mnuso wao ukumbi wa diamond jubilee hall baada ya kumeremeta jana kwenye kanisa la mtakatifu joseph dar. wapambaji ni decor place na namba zao ni +255 784 853 697
wamependaza hawajapendezaaaa...
maharusi na wazaa vyema
"samaki ana vipande vingapiiii.... vitatuuuu..."
mikonozzzz kama kawa

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 17 mpaka sasa

  1. Yaani michuzi hizo fulana zako kwenye parties za watu unatia kinyaaaaa!! Hata kama umebadili color lakini that's boring and not fair.

    ReplyDelete
  2. kaka misoup naona siku mambo t-shirt u -usimba mtupu cc yanga tutakudiliti kwenye system kaka najua uko kwa kazi poa tu

    ReplyDelete
  3. Ebwana KK hongera sana, japo sikujua mshkaji wako kama unavuta jiko ila nakutakia kila la heri katika maisha mapya ya ndoa

    ReplyDelete
  4. Mteja Hongera sana, naona sasa mzee umejiwekea speed limit safi sana! Naona mmependeza sana.

    ReplyDelete
  5. hongera sana jamani, mungu awabariki muwe na watoto wengi waijaze nyumba yenu.

    ReplyDelete
  6. Leboz, leboz, leboz, and more leboz!!! Jamani wabongo mbona vumbi jingi (ushamba), angalia hiyo picha ya pili!!

    ReplyDelete
  7. hongera sana ndugu yangu KK, naona sasa umeshakuwa mtu mzima!!!mtunze mkeo nawe akutunze

    Ni mimi Swala...

    ReplyDelete
  8. hongereni sana, mpependeza.
    Dorine, you look so beautiful.
    you are such a goof girl, and hopeful good wife you will be.
    All the best on the new life that you are going to start.
    school mate-Kibosho

    ReplyDelete
  9. Jamani haka sio kale katoto ka handsome fulani kalikuwa kanakaa pale makutano ya barabara ya Bongoyo na Msasani road ,Oysterbay (Jirani na Primary school)?
    Kama kweli ni kenyewe hongera zake , nakumbuka jina hilo Kazikupenda ..wow.. inabidi na mimi nijitumbukize kwenye ndoa maana kama haka katoto nako ni mume wamtu sasa naona nime zeeka sana .
    Hongereni sana.

    ReplyDelete
  10. Sasa kistoni chote cha 5M tumewowa bado mzee white tu, hongera sana mwafrika

    ReplyDelete
  11. ze fulanazzzz,ze mikonozzzz safi sanaaaaa

    mumependeza maharusi,asa bi harusi supu-supu safi sana jitunze ivo-ivo ata ukizaa bibi unawaka

    heee ukumbi umependeza so unique!!asante kwa contacts tutawatafuta

    ni hayo tu...

    ReplyDelete
  12. Naomba kuuliza: Samaki ana vipande vitatu ni nini? Kiswahili kinanipiga chenga sasa kwa kukaa nje sana. Najua tu inahusika na demu au nimekosea?

    ReplyDelete
  13. Duh! Hongera sana KK, Niatua umepiga nakutakia maisha ya amani na upendo katika ndoa yako. ha ah ha ah Hivi unakumbuka kudaka kweli siku hizi. Obay. Shadrack

    ReplyDelete
  14. Hongera sana KK,inakuaje jirani hata hatualikani kwenye mnuso! ni muda mrefu hatujaonana wala kuwasiliana. Ukipata hii msg fanya tuwasiliane. Msalimie sana mama Charles.
    Magoha Mayagila
    Dallas TX
    goagear@yahoo.com

    ReplyDelete
  15. KK Hongera bwana naona umevuta shemu wa nguvu. All the best kwenye maisha mapya.
    D A

    ReplyDelete
  16. Jamani hongereni kwa kuoana

    Rangi ya siku nzuri ila fundi aliyeshona nguo zenu amewalet chini. Inaonyesha kabisa kuwa mshono bila finishing nzuri

    Mrs. Letuh

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...