ABBAS CHEZNTEMBA AMESEMA WAMEAMUA KULETA TAARABUI ASILIA ILI WADAU WA MUZIKI HUO WA JIJINI WAFAIDI MASHRAF NA KUJUA NINI MAANA YA TAARAB KWA KIINGILIO CHA SHILINGI 7,000 (VITI VYA KAWAIDA) NA SH. 10,000 (VITI VYA DHAHABU NA 20,00/0 (EXECUTIVGE PAMOJA NA MSOSI).
AMESEMA WASANII MWANAHAWA ALI, ZUKIA RAMADHANI NA MWANAIDI SHAABAN WATAKUWEPO PAMOJA NA MABINGWA WA TAARAB BARA NA AFRIKA MASHARIKI, MELODY


commmon michuzi!!! sio INNAKHWAN SAFAA NI AKHWAN SAFA.. by the way ni toka lini ndugu wapendanao wameongeza neno INN na kuwa MALINDI INN AKHWAN SAFA?
ReplyDeletedu ka misupu huyu ndo abass nnayemjua mimi au?mbona kawa mdogo?halafu mbona ka anacheka vile?du hapo naona kakichwa tu masikini,huyu ndo abass pedeshee sifa namna hii haiwezekani,alikua mtu wa karibu na diana aston villa huyu jamaa,sasa naamini cheni iliyopo hapo sijui ataebaki bongo hakyanani.pls usibane comment
ReplyDeleteJina ni akhwan safa, ikimaanisha ndugu wapendanao, hapajakuwepo na neno INN ila pia unaweza kusema INNA AKHWAN SAFA ukimaanisha hakika sisi ni ndugu wapendanao, lakin malindi inajulikana kwa jina akhwan safa tu. thank you
ReplyDeleteHuyu ndo mtoto wa Thierry Henry alozaa Kisimamajongoo nini?
ReplyDeletekilakshari a.k.a kakemakenakape upo? Hii ndiyo ile miondoko uipendayo.
ReplyDeleteMimi naapa ni wako, wa daima duniani,
ReplyDeleteShaka mimi sina kwako, hakika nakuamini,
kulikosa pendo lako, uhai mimi wa nini?,
duniani peke yako, mwenginewe simuoni.
Hakika nnakupenda,
Pendo lisilomithali,
Hakika I LOVE YOU!
NADI IKHWAAN SAFAA.
P.S.
"ni malindi-iiii peke yake-eeee yenye burudaaaan aaaa, WAKEREKE-EEEE WASOPENDA KUTUOONA!".
jina lao kamili wanaitwa nadi akhwan safaa ni kikundi cha taarab kikongwe hapa zanzibar kimeundwa kama sikosei miaka mia moja na ushee ilopita
ReplyDelete