utepe umeshawekwa kwenye kip-lefti yetu karibu na twin tawazzz za benki kuu. redio mbao zinasema kwamna nanihii atakuwa hapo kuizindua siku ya jumanne saa tano na wadau mnakaribishwa

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. Michuzi hongera sana kwa kupigia kelele hilo tatizo sisi hatutaki huo urembo wao tunataka pazibwe!!!!!



    mdau
    Nkya
    a-town

    ReplyDelete
  2. Balozi,hiyo ni sawa wakomalie mpaka waizindue manake inaboa ile mbaya..hapo mwanzo kabla ya hizo hazard mark jamaa yangu ilibidi apeleke Wheel alignment sababu ya hapo...Mbungee wa niniii juuu zaidi.

    ReplyDelete
  3. Na kweli karibu itafunguliwa maana naona na askari kawekwa tayari kulinda.

    This really shows the power of the pen. Usichoke kuwasakama mhe. balozi na mkuu wa wilaya ya nanihii... Tunaona matokea yake! Hongera sana!!!

    ReplyDelete
  4. LIUMBA-keep left

    ReplyDelete
  5. Teheee heee heeee. Tuone kama kweli Watanzania hawana aibu.

    ReplyDelete
  6. JK anasafari ya nje,Watahairisha uzinduzi TUPINGE KAMAUNABISHA au TUWEKE DAU.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...