Meli ya mizigo ya MSC Federica iliyokwama jana jioni katika eneo la Feri ya Kigamboni baada ya kutokea matatizo kwenye usukani na kushindwa kukata kona meli hiyo ilikuwa inatokea katika Bandari ya Dar kuelekea nchi za nje. Juhudi za kuikwamua zinaendelea ikiwa ni pamoja na kupunguza maji na mafuta kwenye meli ili kupunguza uzito

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Nilikuwa na best wangu miaka hiyo ya 80kweusi, aliyejitengenezea nanga buku, discharge book na seaman`s card na akalowea ktk meli. Bahati mbaya , mtumbwi huo ukaharibika mara tu ya kutoka poti ya Dar. Msamiaji akahesabu mida na akajua yuko nanga kubwa. Kuibuka anaona minazi na mitumbwi ya kaya.. Wagiriki wakamuonea huruma(asemavyo yeye) wakampatia msosi na vijinzi na kumvisha safety jackets akaogelea mpaka ufukoni. Leo ni boss Sweden na ashasahau hayo...
    Blackmpingo

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...