baada ya sakata la mkuu wa mkoa kuzuia nafaka isiingie mkoani Mara kwa kuwa inavuka kwenda kenya iliyopelekea mgomo wa wauza nafaka ya soko la Musoma sasa imefika Tamati baada ya mkuu huyo kuyaruhusu ili nafaka ishuke sokoni musoma na kuuzwa. Picha na mdau wa Musoma

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. inamaana huko akuna vitendea kazi du wala vumbi te

    ReplyDelete
  2. MGEKUWA MNAUWEZO WAKUFANYA HIVO MPAKA KWA WAFANYA BIASHARA WA MADINI NCHI INGEFIKA MBALI SANA SEMA MNAPEND AKUWAONEA RAIA.WAGENI WANAFANYA BIASHARA YA MADINI WANAWAIBIA NA KUWAONGA JUU HAMYAONI.LEO WATU WANATAFUTA SOKO LA MAANA MNAWAZUIA.NCHI IMEJALIWA ARDHI YENYE ROTUBA KIBAO LAKINI BADO TU WANAOGOPA JANGA LA NJAA.SERIKALI FOCUS KWENYE KILIMO WASAIDIENI WAKULIMA KUWAKOPESHA MATREKTA SIO MNAWAKOPESHA WABUNGE MASHANGINGI YA KUFANYIA UFISADI.
    HUU UMASKINI WA AKILI TUTAENDELEA NAO MPAKJA LINI?
    mdau "cha mtu mavi"

    ReplyDelete
  3. ..hawa wanasiasa mbuzi sijui wanajiita wakuu wa mikoa ndio sababu kubwa ya umaskini wetu,hawajui chochote zaidi ya ubabe tuu,yaani akili gani ya kuwaingilia wafanyabiashara,kama wanavusha mahindi ina maana kenya kuna bei nzuri zaidi,ni mahindi yao wana haki ya kuuza popote,kama mnataka wewe mkuu wa mkoa na CCM yako limeni yenu muuze,market siku zote inatafuta profit sio charity hiyo,its time kuwa really na kuacha kuwachekea wanasiasa wanaotaka misifa ya kijinga...big up wauza nafaka wote wa Musoma,faida mbele!

    ReplyDelete
  4. Health and Safety. What do they mean again?

    ReplyDelete
  5. ANAYESUKUMA MKOKOTENI NI MTAKATIFU YOHANA MASHAKA, NABII WA UONGO

    ReplyDelete
  6. sijui analipwa shilingi ngapi huyo kubeba hivyo. Huku nikibeba box hivyo nitalipwa double siku hiyo. Yaani hamna hata belt la kiunoni wakitwist mgongo nani atawatibu hao. Bora nibebe box huku nikitwist mgongo natibiwa na disability check iko mlangoni mpaka nipone

    ReplyDelete
  7. tatizo nchi inatawaliwa kijeshi kuangizia juu hadi mkoani mara.Rais alikuwa mwanajeshi,makamaba mwanajeshi,chiligati,mwanajeshi,mkuchika mwanajeshi,Machibya(nyapara wa mkoa wa mara)Mwanajeshi,Makongoro mwenyekiti wa mkoa wa mara C C M mwanajeshi.
    siku serikali ikiwa ya kiraia haya yatakwisha.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...