Home
Unlabelled
mgomo wa wauza nafaka musoma wamalizika
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
inamaana huko akuna vitendea kazi du wala vumbi te
ReplyDeleteMGEKUWA MNAUWEZO WAKUFANYA HIVO MPAKA KWA WAFANYA BIASHARA WA MADINI NCHI INGEFIKA MBALI SANA SEMA MNAPEND AKUWAONEA RAIA.WAGENI WANAFANYA BIASHARA YA MADINI WANAWAIBIA NA KUWAONGA JUU HAMYAONI.LEO WATU WANATAFUTA SOKO LA MAANA MNAWAZUIA.NCHI IMEJALIWA ARDHI YENYE ROTUBA KIBAO LAKINI BADO TU WANAOGOPA JANGA LA NJAA.SERIKALI FOCUS KWENYE KILIMO WASAIDIENI WAKULIMA KUWAKOPESHA MATREKTA SIO MNAWAKOPESHA WABUNGE MASHANGINGI YA KUFANYIA UFISADI.
ReplyDeleteHUU UMASKINI WA AKILI TUTAENDELEA NAO MPAKJA LINI?
mdau "cha mtu mavi"
..hawa wanasiasa mbuzi sijui wanajiita wakuu wa mikoa ndio sababu kubwa ya umaskini wetu,hawajui chochote zaidi ya ubabe tuu,yaani akili gani ya kuwaingilia wafanyabiashara,kama wanavusha mahindi ina maana kenya kuna bei nzuri zaidi,ni mahindi yao wana haki ya kuuza popote,kama mnataka wewe mkuu wa mkoa na CCM yako limeni yenu muuze,market siku zote inatafuta profit sio charity hiyo,its time kuwa really na kuacha kuwachekea wanasiasa wanaotaka misifa ya kijinga...big up wauza nafaka wote wa Musoma,faida mbele!
ReplyDeleteHealth and Safety. What do they mean again?
ReplyDeleteANAYESUKUMA MKOKOTENI NI MTAKATIFU YOHANA MASHAKA, NABII WA UONGO
ReplyDeletesijui analipwa shilingi ngapi huyo kubeba hivyo. Huku nikibeba box hivyo nitalipwa double siku hiyo. Yaani hamna hata belt la kiunoni wakitwist mgongo nani atawatibu hao. Bora nibebe box huku nikitwist mgongo natibiwa na disability check iko mlangoni mpaka nipone
ReplyDeletetatizo nchi inatawaliwa kijeshi kuangizia juu hadi mkoani mara.Rais alikuwa mwanajeshi,makamaba mwanajeshi,chiligati,mwanajeshi,mkuchika mwanajeshi,Machibya(nyapara wa mkoa wa mara)Mwanajeshi,Makongoro mwenyekiti wa mkoa wa mara C C M mwanajeshi.
ReplyDeletesiku serikali ikiwa ya kiraia haya yatakwisha.