Wadau wako kibao tukila nondozzz zetu India tarehe 18 mwezi wa Nne tunawakilisha. Kaka hali ndio hiyo, tumemaliza hatua muhimu ila bado tupo tupo huku tunaangalia ustarabu mwingine. tuombeane uzima.



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 15 mpaka sasa

  1. india kubwa chuo gani?

    ReplyDelete
  2. hongereni ninawaombea uzima na maisha adilifu
    mbona hamjatuambia mlikuwa mnasoma mji gani na chuo gani..hata course ikiwezekana kiufupi.
    cu in employment battle, mdau UK!

    ReplyDelete
  3. afadhali mlichagua kwenda india kusoma maana watu wa ulaya wao ni makazi tu

    ReplyDelete
  4. MICHU
    TABATA KUNAWAKA MOTO MKUBWAAAA,GHALA LA SILAHA LA WANAJESHI LIMELIPUKA NASKIA HAKUFAI,adi airport mtikisiko wanausikia

    TUPE NEWZ APA BWANA,TV ZETU HAZINA BREAKING NEWZ,tuko nje ya jiji

    poleni watu wa tabata

    ReplyDelete
  5. NO NI MBAGALA MKUU,SIO TABATA

    ReplyDelete
  6. hongereni tatzo sasa wabongo wengi wanagraduate na bado wana mentality kwamba ukigraduate lazima uajiriwe somewhere,na si kubuni miradi mbalimbali kutokana na vitu walivyosomea,na tanzania yenyewe i predict kwa kipindi fulani kijacho kazi zitakuwa za shidamaana magraduate ni wengi wana manondoz lakini ndio hivyo kampuni za kuhesabu,tutakuwa na sisi kama wanigeria au wahindi mtu ana phd hapati kazi,serikali nafikiri inabidi iwe inahimiza wahitimu kubuni vitu mbalimbali na sio lazima kuajiriwa kwenye mashirika.

    ReplyDelete
  7. Michudhi mbona unatubania habari za kulipuka kwa mabomu Mbagala.Au na wewe una nyumba ndogo kibande hiyo?

    ReplyDelete
  8. Dah mmenikumbusha mbali nyie wadau , mimi nimesoma delhi nimemaliza mwaka 2005 sema sasa niko canada namiss sana kingfisher na nyama ya buffalo, rickshaw, lasii

    ReplyDelete
  9. watu wengine bana, ss Michuzi na nyumba ndogo Mbagala kuna uhusiano gani na habari za milipuko, kama huna cha kuandika si uache tu, au kwa sababu ni annon basi unaropoka tu. Think b4 u write sth.

    ReplyDelete
  10. Sasa hawa wote wakirudi bongo + UDSM inatema + SUA inatema + IFM inatema + Mzumbe inatema + all other Institutes = Kukosekana ajira kukimbilia ubunge 2010 na kujifanya wakereketwa wa Chama.

    Tanzania patakuwa hapatoshi jamani, watu mnasoma huku mkitegemea kuajiriwa nafiri sasa mfikirie kuwa wajasiriamali mjiajiri wenyewe jamani, wazee hawataki kuwaachia vijana wakistaafu serikalini wanakimbilia majimboni kwa mtaji wa kiinua mgongo

    ReplyDelete
  11. Baada ya miaka kama 10 hivi bongo wajanja watakuwa wengi na katika wale adui watatu mmoja atakuwa kaanguka (ujinga).

    ReplyDelete
  12. I hope they really learned something na sio tu kwamba walikuwa wanatufuta reputation to be known in their third world little society as a learned person.I hope they will all do something na sio kutundika hayo madegree ukutani wageni wayaone.
    Mdau USA-1
    matthew

    ReplyDelete
  13. Tunawaomba mrudi nyumbani ili mje kusaidia kujenga taifa, haya mambo ya bado tupo tunaangalia ustaarabu mwingine, angalia msije kuishia kubeba boksi udosini!

    ReplyDelete
  14. Wahindi tuna chuki nao sana na lakini mbona tunakwenda kwao kufundishwa? Ina maanisha wao wana akili zaidi au....?

    ReplyDelete
  15. Ndugu zangu hongereni kwa kumaliza shule hivyo mjipange kutumia miundo mbinu kufanya mabadiliko ya kweli, najua mnajua mifumo ya kumiliki na kutunza fedha, mifumo ya kuleta maendeleo na kuhakikisha kila mwananchi anapata hudumu muhimu kama umeme na maji,hivyo basi tumieni wigo huo kwa kuwashirikisha hao waliowapa elimu kujenga nchi yetu.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...