Home
Unlabelled
nondozzz kibao india
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
india kubwa chuo gani?
ReplyDeletehongereni ninawaombea uzima na maisha adilifu
ReplyDeletembona hamjatuambia mlikuwa mnasoma mji gani na chuo gani..hata course ikiwezekana kiufupi.
cu in employment battle, mdau UK!
afadhali mlichagua kwenda india kusoma maana watu wa ulaya wao ni makazi tu
ReplyDeleteMICHU
ReplyDeleteTABATA KUNAWAKA MOTO MKUBWAAAA,GHALA LA SILAHA LA WANAJESHI LIMELIPUKA NASKIA HAKUFAI,adi airport mtikisiko wanausikia
TUPE NEWZ APA BWANA,TV ZETU HAZINA BREAKING NEWZ,tuko nje ya jiji
poleni watu wa tabata
NO NI MBAGALA MKUU,SIO TABATA
ReplyDeletehongereni tatzo sasa wabongo wengi wanagraduate na bado wana mentality kwamba ukigraduate lazima uajiriwe somewhere,na si kubuni miradi mbalimbali kutokana na vitu walivyosomea,na tanzania yenyewe i predict kwa kipindi fulani kijacho kazi zitakuwa za shidamaana magraduate ni wengi wana manondoz lakini ndio hivyo kampuni za kuhesabu,tutakuwa na sisi kama wanigeria au wahindi mtu ana phd hapati kazi,serikali nafikiri inabidi iwe inahimiza wahitimu kubuni vitu mbalimbali na sio lazima kuajiriwa kwenye mashirika.
ReplyDeleteMichudhi mbona unatubania habari za kulipuka kwa mabomu Mbagala.Au na wewe una nyumba ndogo kibande hiyo?
ReplyDeleteDah mmenikumbusha mbali nyie wadau , mimi nimesoma delhi nimemaliza mwaka 2005 sema sasa niko canada namiss sana kingfisher na nyama ya buffalo, rickshaw, lasii
ReplyDeletewatu wengine bana, ss Michuzi na nyumba ndogo Mbagala kuna uhusiano gani na habari za milipuko, kama huna cha kuandika si uache tu, au kwa sababu ni annon basi unaropoka tu. Think b4 u write sth.
ReplyDeleteSasa hawa wote wakirudi bongo + UDSM inatema + SUA inatema + IFM inatema + Mzumbe inatema + all other Institutes = Kukosekana ajira kukimbilia ubunge 2010 na kujifanya wakereketwa wa Chama.
ReplyDeleteTanzania patakuwa hapatoshi jamani, watu mnasoma huku mkitegemea kuajiriwa nafiri sasa mfikirie kuwa wajasiriamali mjiajiri wenyewe jamani, wazee hawataki kuwaachia vijana wakistaafu serikalini wanakimbilia majimboni kwa mtaji wa kiinua mgongo
Baada ya miaka kama 10 hivi bongo wajanja watakuwa wengi na katika wale adui watatu mmoja atakuwa kaanguka (ujinga).
ReplyDeleteI hope they really learned something na sio tu kwamba walikuwa wanatufuta reputation to be known in their third world little society as a learned person.I hope they will all do something na sio kutundika hayo madegree ukutani wageni wayaone.
ReplyDeleteMdau USA-1
matthew
Tunawaomba mrudi nyumbani ili mje kusaidia kujenga taifa, haya mambo ya bado tupo tunaangalia ustaarabu mwingine, angalia msije kuishia kubeba boksi udosini!
ReplyDeleteWahindi tuna chuki nao sana na lakini mbona tunakwenda kwao kufundishwa? Ina maanisha wao wana akili zaidi au....?
ReplyDeleteNdugu zangu hongereni kwa kumaliza shule hivyo mjipange kutumia miundo mbinu kufanya mabadiliko ya kweli, najua mnajua mifumo ya kumiliki na kutunza fedha, mifumo ya kuleta maendeleo na kuhakikisha kila mwananchi anapata hudumu muhimu kama umeme na maji,hivyo basi tumieni wigo huo kwa kuwashirikisha hao waliowapa elimu kujenga nchi yetu.
ReplyDelete