Mtoto Mariam anayelelewa kituoni hapo akimlisha keki mwanamuziki De Plaizir kama ishara ya kumkaribisha kituoni hapo kwa chakula cha mchana leo mwanamuziki De Plaizir ni mkongo anayefanya kazi zake za muziki nchini Uingereza. Nyuma yao ni Khadija Mwanamboka Mkurugenzi wa kituo hicho cha kulea yatima cha Tanzania Mitindo House
Kutoka kulia ni Willem kutoka Uholanzi rafiki yake na mwanamuziki Fid Q, De Plaizir, Fid Q, mtangazaji wa radio Clouds Sofia Kessy na Chid Benz wakipata chakula na watoto katika kituo cha kulelea watoto cha Tanzania Mitindo House. Mwanamuziki De Plaizir amesema hata yeye alifiwa na wazazi wake wote wawili miaka mingi iliyopita hivyo alilelewa na wasamaria wema tu, hivyo akaahidi kuwa yeye kama mwanamuziki hana uwezo mkubwa isipokuwa anaweza kusaidia kwa kukusanya michango kwa watu mbalimbali nchini Uingereza mara atakaporudi huko na chochote kitakachopatikana atakiwakilisha kituoni hapo ili kisaidie watoto hao ambao wanahitaji lishe nzuri na madawa kutokana na matatizo yao kwa picha zaidi za tukio hili shuka chini mdau ili upate kujua yaliyojiri katika kituo hicho
Mpeli Nsekela 'Kiongozi' akijichana pilau na watoto yatima kwenye dina la mchana wakati wa pasaka


Kweli Pasaka ilikuwa njema kwako. " Dina ya mchan!!!!!" Nimekubali
ReplyDeleteI'm realy not sure about people and fashion at home.For what i know peoples fashion or the dress code often depends on the ocasion and season.Weather its Winter or summer time people dress differen't to weather its cold or warm outside. The guy in the Pic got long sleeve shirt with scuff on.From what i heard from friends who just return from home they say its extreme hot in Dar so i can't imagine dressing like that in a tropical warm weather.Besides that-Black outfit with red scuffs!!aaaah don't realy know!!!
ReplyDeletenadhani kuto nyumba za SOS hii nayo ni nyumba nyingine walu safi na yenye mwelekeo wa kuheshimu utu wa watu wasiojiweza, hongera Bi Khadija na tuendelee kutoa makao yanayokidhi matakwa ya wakaazi hata kama uwezo ni mdogo. Niliona nyumba ya wazee waliuana Morogoro ilinisikitisha sana, ni heri kutunza watu wachache kwa staha na afya kuliko kurundika watu kama vile si binadamu katika nyumba chafu na zenye msongamano.Usafi hautegemei utajiri.
ReplyDeleteWATU HAWAWEZEKANI COLD OR WARM,WINTER OR SUMMER WHO CARE?
ReplyDeleteHIYO NI MWENYEWE ANAYEPENDA KIKUBWA ANAANGALIA WATOTO NA MUNGU AMPE MOYO AWATAFUTIE WAZAMINI WEWE HAIKUHUSU HAYUKO PALE KWA KILE UNACHOITA FASHION SIKU AKIWA KTK FASHION ATAVAA KI FASHION ACHA USHAMBA KENGE WEWE
NA TABIA ZENU ZAKUPEKUWA MTU KAVAA NINI UNAJUWA MADIZAINI WAKUBWA DUNIANI NI WA CHINI JE UNAJUWA WANAVYOVAA??
WEWE ULIYEZIJUWA NGUO UZEENI HANGAIKA ILA SI KULETEA WATU USHAMBA WAKO HAPA HATUKO ETELESTEDI NA UJINGA WAKO
Mdau wa april 13 3.23pm hapo juu what the hell are you talking about!? Out of point, context and spouting utter non sense...... it is not about dress codes buddy gyad some people!!! griiiiiii
ReplyDeleteAND THAT GOES BACK TO YOU!!!
ReplyDeleteNA CHA MSINGI ACHA USHAMBA WAKUFATIRIA WATU WAMEVAA NINI HATA WAKIVAA CHUPI KICHWANI NI WAO SI WEWE GENGE MKUBWA
Kuna wanadamu wengine bwana, Kila mtu anavyopenda kuvaa bwana Muhimu kawalisha watoto wanaohitaji mazuri kuliko wewe unayepoteza thwawabu zako kwa majungu, kuna watu humu hujifanya kiengereza kinapanda sijui ndio kuonesha kama akiandika kiengereza ataonekana kasoma sana au yupo mbali sana kumbe Bruuuuuuuuuuuuuuuuuu najuwa unaelewa kiswahili. Mungu awazidishie hawa waliojitolea kuwa na hao watoto inshallah mwenyezimungu atazidi KUWAFUNGULIA MILANGO MEMA.
ReplyDeleteHi,kaka michuzi ,na mie nikirudi .nataka nije nilete msaada hapo japo kidogo tu nilichonacho,naomba unipe maelekezo wanapatikana wapi kwa ,hapo dar .mdau ca.
ReplyDeletekwa taarifa yako mdau anaye wanga hapo juu kuh dress code yes kweli dar ipo ext hot ndio sababu huyu jamaa ana hilo tambaa la kufuta jasho manake handkachifu haitoishi je sasa umeona kama yupo ktk fasheni yako ? acha umbea na majungu
ReplyDelete