Mzee wa bwawa la maini nakuletea taswira hii toka Dubai ambapo jengo refu kuliko yote duniani lilipigwa na radi na kwa takriban dakika 30 hali ilikuwa kama hivi,wape wadau watoe maoni!enjoy.......
Kutoka kwa mdau Ali Yusuf!

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 18 mpaka sasa

  1. SAWA KILUVYA NIMEKUPATA.MSELA WAKO BERLIN HAPA

    ReplyDelete
  2. Ally Yusuph!Radi ilikuwa dakika 30, au sekunde 30?
    PhD-Student.

    ReplyDelete
  3. Mungu mkubwa kwa hao jamaa huo ujumbe kwao mkae na mtafakali

    ReplyDelete
  4. nafikiri itakuwa 30 second mkubwa,ahh ndio mambo ya mungu hayo!!
    sasa siku akiamua kulikata kati sijui itakuwaje?
    kweli ndugu yangu hapo juu massage imefika.
    mdau jp

    ReplyDelete
  5. Taarifa nzuri japo controversial dakika 30 kwa lightning ni more than ever. Halafu habari pia ni incomplete baada ya kupigwa radi what happened?, Ni kwamba jengo liko Earthed very well kiasi kwamba all electrons zilipitishwa ardhini na kutoleta madhara au jengo lilipata tatizo?

    ReplyDelete
  6. wamekaribia kumtekenya unyayo wasubiri atakapowakanya haitakuwa ground zero bali no-mans land

    ReplyDelete
  7. michuzi kumbe na wewe kny ugaidi umo eeh?

    ReplyDelete
  8. Nilimaanisha kwamba lilipigwa na na radi mfululizo kwa dakika 30 na nimetuma picha nyingi tu tofauti ila mzee wa bwawa la maini kaweka moja!

    ReplyDelete
  9. Naam,hapo ni ujumbe tuu...jitahadharini kwani kiama sasa karibu!

    ReplyDelete
  10. Sijui kwa nini nimefikiria mnara wa Babeli

    ReplyDelete
  11. Aisee tigana fanya urudi nyumbani kwani hizo ni dalili za kiama kwani kiama kitaanzia kwa waarabu hao jamaa ndio wanaongeza kwa lana dunia na ndio maana hata dini ilianza kutelemshiwa huko ili kuwapunguza makali lkn bado wanaongoza.
    mdau
    kisiju pwani

    ReplyDelete
  12. Hilo jengo linaitwaje? Nadhani ni jengo refu kupita yote DUBAI na sio duniani. Correct me if I am wrong.

    ReplyDelete
  13. Kaka hapo juu,hili jengo linitwa Burj Dubai ndio jengo refu kupita yote ulimwenguni kwa sasa,kwa taarifa zaidi waeza check kwenye google mzee.

    ReplyDelete
  14. linaitwa Burj Dubai ni refu kuliko yote Duniani sio Dubai only.

    ReplyDelete
  15. Hilo jengo linaitwa Burj Dubai ni refu kuliko majengo yote duniani, si Dubai only.
    Mdau Dubai

    ReplyDelete
  16. truth tellerApril 15, 2009

    kuna english aina mbili my dia american english na European jama sasa kwa wale tuliosoma that sentence is right amechemka kuandika neno very ambapo alikuwa anataka ku emphasize tu
    ps: broken = imearibika

    ReplyDelete
  17. ally yusuf kiluvya.......malizia story yako vizuri bwana!
    kama hawa jamaa wanaitwa wabeba maboksi, wewe tukuite vipi?

    ReplyDelete
  18. sioni jengo,naona mstari wa rangi nyeupe/mwanga tu

    then what sasa??radi kupiga si kitu cha kawaida?

    jamani wabeba box?mkifika tu ulaya eti nanyi mwawa "watalii wapiga picha matukio adi barafu na uwanja"

    ni ayo tu,semeni sasa

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...