Home
Unlabelled
radi dubai
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
SAWA KILUVYA NIMEKUPATA.MSELA WAKO BERLIN HAPA
ReplyDeleteAlly Yusuph!Radi ilikuwa dakika 30, au sekunde 30?
ReplyDeletePhD-Student.
Mungu mkubwa kwa hao jamaa huo ujumbe kwao mkae na mtafakali
ReplyDeletenafikiri itakuwa 30 second mkubwa,ahh ndio mambo ya mungu hayo!!
ReplyDeletesasa siku akiamua kulikata kati sijui itakuwaje?
kweli ndugu yangu hapo juu massage imefika.
mdau jp
Taarifa nzuri japo controversial dakika 30 kwa lightning ni more than ever. Halafu habari pia ni incomplete baada ya kupigwa radi what happened?, Ni kwamba jengo liko Earthed very well kiasi kwamba all electrons zilipitishwa ardhini na kutoleta madhara au jengo lilipata tatizo?
ReplyDeletewamekaribia kumtekenya unyayo wasubiri atakapowakanya haitakuwa ground zero bali no-mans land
ReplyDeletemichuzi kumbe na wewe kny ugaidi umo eeh?
ReplyDeleteNilimaanisha kwamba lilipigwa na na radi mfululizo kwa dakika 30 na nimetuma picha nyingi tu tofauti ila mzee wa bwawa la maini kaweka moja!
ReplyDeleteNaam,hapo ni ujumbe tuu...jitahadharini kwani kiama sasa karibu!
ReplyDeleteSijui kwa nini nimefikiria mnara wa Babeli
ReplyDeleteAisee tigana fanya urudi nyumbani kwani hizo ni dalili za kiama kwani kiama kitaanzia kwa waarabu hao jamaa ndio wanaongeza kwa lana dunia na ndio maana hata dini ilianza kutelemshiwa huko ili kuwapunguza makali lkn bado wanaongoza.
ReplyDeletemdau
kisiju pwani
Hilo jengo linaitwaje? Nadhani ni jengo refu kupita yote DUBAI na sio duniani. Correct me if I am wrong.
ReplyDeleteKaka hapo juu,hili jengo linitwa Burj Dubai ndio jengo refu kupita yote ulimwenguni kwa sasa,kwa taarifa zaidi waeza check kwenye google mzee.
ReplyDeletelinaitwa Burj Dubai ni refu kuliko yote Duniani sio Dubai only.
ReplyDeleteHilo jengo linaitwa Burj Dubai ni refu kuliko majengo yote duniani, si Dubai only.
ReplyDeleteMdau Dubai
kuna english aina mbili my dia american english na European jama sasa kwa wale tuliosoma that sentence is right amechemka kuandika neno very ambapo alikuwa anataka ku emphasize tu
ReplyDeleteps: broken = imearibika
ally yusuf kiluvya.......malizia story yako vizuri bwana!
ReplyDeletekama hawa jamaa wanaitwa wabeba maboksi, wewe tukuite vipi?
sioni jengo,naona mstari wa rangi nyeupe/mwanga tu
ReplyDeletethen what sasa??radi kupiga si kitu cha kawaida?
jamani wabeba box?mkifika tu ulaya eti nanyi mwawa "watalii wapiga picha matukio adi barafu na uwanja"
ni ayo tu,semeni sasa