msanii rehema chalamila a.k.a ray c baada ya kurusha roho watu na pete ya uchumba siku ya wajinga alipata nafasi ya kuongea na globu ya jamii juu ya mambo nmawili matatu. msikilize..
Home
Unlabelled
ray c aongea na globu ya jamii
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Michu eee tuache usenene wala nini huyu Ray C si ndiyo yule aliyekupiga mkwara 2007 kuwa usiweke picha yake humu. na ukatekeleza na tulimsahau kweli sasa leo imekuwaje anajileta mwenyewe au ndiyo Tour ya UK inamfanya atafute Publicity sasa. Ila blog hii ni mtakuja/mtarudi/ blog ya jamii kuikana ni kama "kuzuia mvua wakati umeanika nguo, au wakulima kutaka kulizima jua mazao yao yasinyauke"
ReplyDeleteMABINTI WA KIBONGO AMA KWELI MNAPENDEZA,MACHO,MIDOMO,RANGI,SHINGO,MARINGOZ,NYONDOZ SEMA JOTO TU NDIYO LINAWAHARIBIA
ReplyDeleteMhindi??? sijaelewa hapo. Then anaongeaje au ndio pozi??? body language mnaonaje wadau? kweli biashara matangazo.
ReplyDeleteWow finally Ray C is back on globu ya jamii.
ReplyDeleteYaani Michuzi uko kama Marekani ... no permanet enemies.
Naona jana mtoto kakupooza kwa kudance na wewe na kukuruhusu umshike kidogo Mkuu wa Wilaya chaaaaaaaaali.
HANAONGEA KINYEGE X2.....CJUI NDIYO POZI HIYO...ANYWAY KEEP IT UP!!!
ReplyDeleteVizuri sana kusikia Watanzania wa aina tofauti. Ray C, nakumbuka kuna wakati ulikuja D.C, USA nikasikia tu, ni miaka kadhaa sasa.
ReplyDeleteIla kwa wasanii maarufu kama Ray C, wanatakiwa kutumia Kiswahili sanifu kama:
............ "nyimbo watu hawaipigi". = wimbo watu hawaupigi.
Ana maarifa ya Uhindi Uhindi vile. Una maana maarifa ya Utanzania au Uafrika huyufagilii? Wabongo nasi tujithamini na kuthamini vyetu!
haya kwa kweli miaka nenda rudi mimi nampenda sana ray c ana sauti na kiuno cako dada hongera sana sio uongo lakini hii video sijui ulikuwa umechoka ama vipi sijapenda body language yako sijui kama ni mimi peke yangu inaonekana kama ulikuwa unajilazimisha jaribu kujibeba vizuri dada tunakufagilia sana on stage lakini jaribu sana kwa nguvu kuwa wewe mwenyewe as in your own self in interviews sababu ndo zinaonesha wewe mtu wa aina gani big ups i will be there to see your concert in birmingham cant wait....
ReplyDeleteI think Ray-C amejitahidi kukaa kwenye game muda mrefu na anafanya vizuri ingawa bad hajamzidi JIDE..Ushauri wa bure ni kuwa tu ajaribu kuongea vizuri sikupenda the way anaongea kwa hii interview it's like kalewa, kavuta bangi ama kachoka sana na kalazimishwa..halafu wasanii na watangazaji wa TZ ni nini mbaya na hili neno 'nyimbo' yaani karibia wote hawajui tofauti ya nyimbo na wimbo mbona rahisis sanaa? Ray-C uje usafishe Kenya mashabiki wako wamelalamika eti siku hzi unanata unataka kupakwa make ups za ulaya na kulipwa dola na si Ksh..mbona Ksh bado ina value kwa East Africa? Halafu fanya collabo na JIDE ile ya kwanza mlikuwa hamjawa tight sana sasa hivi mwaweza fanya kweli..
ReplyDeleteAll the best mama tunakufagilia uko juu.
Bila shaka yeye, wasanii wengine, wachezaji wa michezo mbalimbali na hata baadhi ya viongozi wanahitaji sana washauri katika mambo ya PR ili kuwasaidia wanapotoka kuongea hadharani...
ReplyDeletekwa mtu mwenye akili atajua tu huyu dada ni mvuta bangi binti mtu mzima kama yeye hawezi kuongea hivyo.ni aibu na hiyo inamfanya aonekane very cheap.binti anatakiwa aongee kama tausi likokola nlivomsikia wakati anahojiwa.uhuni mtupu haipendezi,body language,voice tone vyote vinamshusha hadhi.interview ndio sehemu yakununulia good impresion.
ReplyDeletemh,mtoto anaongea kama katoka kushughulikiwa.raia tusilaumu sana michu walikutana tu na ray c night kali sana na intavyuu hapohapo ya chapchap so km alikuwa kavuta mbange,bwimbwi au kapiga ubwii ni yeye si unajua bongo mastarehe mengi,hongera mama na sisi tuletee hayo mauno stockholm
ReplyDeleteJamani mie macho yake tu huniachaga hoi!! na hiyo lafudhi yake ya kitanga lool!!
ReplyDeleteHayo manjonjo poz tu zimepitiliza hizo jamaniiii mbona alivyorambaramba midomo hamsemi au hamjaona??? ha ha haaa!!
I admire you Ray C!!
nakubaliana kabisa na wachangia hoja,sijapendeza na uongeaje wake,anaonekana hakujiandaa au hayuko makini,na pia maongezi yake hayana uzito.siku nyingine dada yangu ni vyema kujindaa na kufanya mahojiano ambayo ukiangalia roho inaridhika.sijui wewe mwenyewe unaonaje dada yangu.ni maoni yangu tuuu lakini napenda kazi yako ila sema ukweli napenda ya jide zaidi.
ReplyDeletemichuzi unanibania comment zangu hii ni mara ya tatu na comment kitu hurushi hewani usidhani sifa nzuri tu ndio zinatakiwa zirushwe hata mbaya ili watu wajirekebishe kama hawajui watu wanasemaje kuhusu wao watajirekebisha vipi. Mimi nilicomment kuhusu ray c kufagili uhindi badala ya u black beuty au uafrica asilia na hujarusha unadhani watu wasipojua tofauti watajirekibisha? please usinibanie nirushe ninataka elimisha watu. sababu sisi tunaoishi nchi za nje ndio tunakutana na hayo mataifa natunawajua vizuri acheni tuwaelimishe ndugu zetu kuhusu hawa watu waache kuwafagilia wazungu, wahindi etc
ReplyDeleteyuko wapi camelion kipepeo?
ReplyDelete