
JK akiwa na Mh. Mwai Kibaki na Mh. Yoweri Museveni katika moja ya mikutano yao
Bwana Michuzi,
Mimi si mwana CCM ila Namsupport JK 100% kwa uamuzi wa kuilinda ardhi ya watanzania kwani wenzetu hawana ardhi ya kutosha ilifika hadi kuuwana huko Kenya kwa ugomvi wa Ardhi.
Nafikiri JK hapa yuko madhubuti katika kutoa maamuzi .
http://www.theeastafrican.co.ke/news/-/2558/559480/-/item/1/-/bcm5rez/-/index.html
Mdau
Washington DC


Perfect and Big-Up JK. Uzi ni huohuo. Tunamuomba Mwenyezi Mungu, wasije wakaibuka Vijisenti kufanyia maamuzi ishu sensitive kama hii. MUNGU IBARIKI TANZANIA
ReplyDeleteWELL DONE J.K,YOU HAVE TAKEN A GOOD DECISION,KUWA NGANGARI HIVYO HIVYO,MAMBO MENGINE POA KUSHIRIKIANA NAO ILA ARDHI NO NO NO,ENDELEA MZEE.
ReplyDeleteMDAU WA KAMPALA MTZ,NASEMA KUWA TANZANIA MSIKUBALI,HUU UMOJA WENYEWE NI WA MASHAKA MASHAKA NCHI ZOTE NNE UKIACHA TANZANIA ZINA MATATIZO MAKUBWA SANA YA ARDHI,HUWEZI AMINI KENYA NA UGANDA HIVI SASA WANAGOMBEA KISIWA KIDOGO AMBACHO HATA EKARI MOJA HAKIFIKI KINAITWA MIGINGO,TANZANIA TUNA MATATIZO MAKUBWA YA MUUNGANO WETU NA ZANZIBAR,LEO TUNAJIINGIZA TENA KWENYE MATATIZO MENGINE WAKATI YALE YANAYO TUKABILI HATA HATUJAMALIZA NAOMBA TANZANIA MSIKUBALI UZI NI ULE ULE.WATU WA CCM WASITUBULUZE KUINGIZA NCHI KWENYE MIKATABA YA AJABU AJABU,MUNGU IBARIKI TANZANIA ILI WASIJE ETI EAC MTU HATAKIWI KUWA NA PASSPORT UNAINGIA TU NA KUFANYA KAZI POPOTE PALE TUMEONA MWANZONI TU 2005/2006 WATU WAMEINGIA NA SILAHA TENA KALI KAMA AK 47 HAUKUWA UTAMADUNI WETU KUONA WATU WAKIIBA MPAKA BANK HII KALI YAKE KABISA
ReplyDeleteMDAU MTZ-KPL,UG.NASEMA WATANZANIA KATAENI ARDHI NA WATU KURUHUSIWA KUINGIA NCHI NYINGINE BILA VITAMBULISHO VYOVYOTE SOMA HAPA CHINI UONE WAKENYA NA UGANDA HUENDA WAKAINGIA VITANI KUGOMBEA KISIWA AMBACHO HAKIFIKI HATA EKARI MOJA
ReplyDelete....................................Kenya threatens to block Uganda cargo over island
Sunday, 12th April, 2009 E-mail article Print article
A section of the Migingo Island, which has led to a dispute between Kenya and Uganda over its ownership
By Milton Olupot
in Kampala
and Leo Odera Omolo
in Kisumu
LOCAL leaders in Kenya have threatened to block its trade routes if Uganda does not vacate the disputed Migingo Island.
The leaders from Kisumu vowed to call for a protest, saying Uganda had continued to maintain its armed forces on the island, which contravened the Kampala Agreement.
This was disclosed in a meeting of the Nyanza Strategic recovery Forum in Kisumu on Wednesday.
Kochiel Oloo, the forum chairperson, chaired the meeting in which the leaders resolved to mobilise the locals to block the transportation of goods and fuel to Uganda if her troops do not leave the island.
They demanded that Kenyan President Mwai Kibaki declare the rightful owner of the island.
“We heard that Kibaki is with (President Yoweri) Museveni in Burundi. He should now tell Kenyans what they discussed,” Ogalo said, adding that the dispute was affecting economic activities in the area.
The local leaders also demanded that Uganda lowers its flag, an issue which was rejected at a meeting between the Ugandan and Kenyan ministers at the Island recently.
The chairman of the Luo Council of Elders, Riaga Ogalo, the vice-chairman of the Inter-Faith Network, Salim Ahmed and Archbishop Abakuk Abongo attended the meeting.
Uganda’s internal affairs state minister Matia Kasaija on Saturday said the Government was aware of the threat.
“We have intelligence and we know what is going on,” he said.
He blamed the Kenyan leaders for trying to sensationalise a matter, which he said was being resolved.
“The matter is being handled at the highest level. The two presidents are handling it. Kenya seems to be having other issues and is only using this as a scapegoat. How can we fight for less that an acre of rock?” he asked.
The minister said the border demarcation was a technical matter which was being assessed by a surveyors.
He advised leaders of both countries to focus on how to strengthen their working relations rather than conflict over the island.
“We also serve 30% of the Kenyan markets with our goods. We should be talking about increasing food production,” he said.
CURRENT NATIONAL STORIES
Archbishop backs Rubaga’s Ssendikadiwa
Two Mukono schools manned by four teachers
KPC renamed Watoto Church
42 schools to be rebuilt
Over 30 suspected killers arrested
Naguru-Nakawa estate residents to be paid
In Brief
VP raps Buganda MPs over disunity
Health research body Bill passed
Kampala Hilton project on course - Aya chief
In Brief
hata hao rwanda wanamatatizo ya ardhi,ndio mana mpuuzi anaewatuma sarkozy anataka kuitenga east congo iwe ya rwandi coz watu ni wengi,ardhi ndogo,tupilia mbali hawa wanaotaka kuingia east afrika comm,coz watatuletea matatizo yao huku kwetu.
ReplyDeleteTumeweza kuwazuia Waafrika wenzetu wa hapa jirani. Sasa bado kuwazuia wazungu.
ReplyDeletemungu aingilie kati awape utashi hawa viongozi wetu kwani leo aweza kataa kesho anaweza akakubali kisingizio et tulikuwa tunatafakari tumeona iko sawa .sasa hivi wagombea hako kakisiwa ka magingo hata heka hakafiki. na ukitembelea mitaa ya nairob utakuta kuna maskin ambao tangu babu hajawahi miliki ardhi wanaishi kwenye vijijumba vya maboksi. na ukizingatia idadi ya watanzania wa 1990 sio idadi ya watanzania wa leo sasa twawa 40,000,000 hebu fikiri wote hawa wanaardhi? wakenya juzi tu nimesikia wanajadili suala la ardhi nalo likawa gumu sana na likaleta kukashifiana kwa baadhi ya wabunge.na kenya hamna ardhi wala uganda si rwanda au burundu. kudhihilisha hili kila mwaka wakenya na waganda huwa wanaomba msaada wa chakula. 90% ya ya ardhi ya east africa iko tanzania ndio maana wanatushawishi tushee nao. NANYI VIONGOZI MAFISADI MUSIJE MUKAJARIBU YOOOOOOOOOTE MUFISADI LKN SIO HILI.
ReplyDeletekama Mungu wetu aishivyo,,,ardhi HAPANA KABISAAAAA YAN HATUTAKI KABISA
ReplyDeleteili suala ni issue,,ya zenji tu now makubwa ya kugombea mafuta uko visiwani,afu tujiingize katika ardhi tena na majirani-watani zetu?
weeee nani kasema?
JK no please for our blessing land Tanzania