
UONGOZI WA FM ACADEMIA PIA UNABA RADHI KWA MAPROMOTA (DIDAS NEW FASHION NA BONGO DJ ENTERTAINMENT) KWA KUAHIRISHWA SAFARI HIYO BAADA YA WAO KUKAMILISHA KILA KITU IKIWA NI PAMOJA NA KUTUMA TIKETI NA VITU VINGINE MUHIMU.
MSEMAJI
FM ACADEMIA
Most read Swahili blog on earth
MSEMAJI
FM ACADEMIA
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
duuuuu nomaaa ndio mambo ya kiswahili alwayz hayakamiliki.....yote heri hela zetu tutafanyia mambo mengine nishai lakini nime mind.....mdau coventry bj
ReplyDeletedah,ndo ivyo tena wadau mambo yameingiliana but msiwe na wasiwasi wana Ngwasuma watatua mjini tu
ReplyDeleteMZUNGU KASTUKA,kawanyima viza,anajua wote watazamia kwenye utambarare.kaeni hukohuko bongo huku kila siku kirisimasi
ReplyDeleteWAMEBANA VISA NINI?
ReplyDeletehivi hawa wanafikiri pound inachimbwa? kama walitumiwa mpaka ticket, halafu wanaahirisha dakika za mwisho wanafikiria nini? labda kama siijui issue vizuri, wanafikiria safari yao ni Dar Mwanza? wanadhani mtu kujiandaa ku-host group UK, ni porojo? poleni mliowandaliia safari, japo msikate tamaa! na nyie Ngwasuma get ur life and program sorted out sio kusumbua watu.
ReplyDeleteKwa masharti ya kuingia uingereza yalivyo toka mwanzo nilikuwa na mashaka kama watapewa visa.
ReplyDeleteGharama za kuja huku MBINGUNI si mchezo ati!!
ReplyDeleteNa Ma-promoter dizain za KUGONGEA FEGI ni lazima hata VISA zitakuwa mzozo.
Jitahidini tu lakini muweze kuona maisha ya huku HAERA..
Ila msilete za Kibongo bongo MKAZAMIA huku:))
Mimi nilijua kua sio rahisi kwa wa congo kupata visa ya UK kupitia tiketi ya kuiwakilisha Tanzania,ni vigumu,maana ngwasuma asilimia kubwa ni wa congo,na wakija huku hakuna atakae rudi bongo,hamtaki kusema kama wamekosa visa.
ReplyDeletehuu ni uzushi mtupu! kwa nini msiwe wazi tu kwamba mmenyimwa VISA??? watu tulisha chukua off day kazini, na ukizingatia ni double time, mmetupotezea muda na pesa nyingi saana. wakati mwingine msitangaze shoo kabla ya kupata pasi za kuingilia nchini (visa) huu ni upotoshaji na kukiuka misingi ya kazi ( nothing like proffessionalism in you guys)kwani huu uvumi wa nyie kunyimwa VISA sisi huku midlands tumeanza kuusikia tamgu Jumatatu ya wiki hii, iweje mtuambie leo kuwa ziara imeahirishwa????? what a short notice????????????? wakati mwingine mtapoteza wapenzi kwa sababu za ubabaishaji uliokubuhu kama huu!!! ngwasuma!!! ngwasuma! kumbe wababishaji tu!!!--- MUMEKULA BAMIA SASA MUNATELEZA!!!
ReplyDeleteMDAU WA MSONDO!!!! EAST MIDLANDS
viza au?
ReplyDeleteduh naona visa zimekua mgogoro sasa.polenio saniii
ReplyDeleteNgwasuma wameomba samahani kwa mashabiki na mapromota...huu ndio uungwana. Safi sana, ratiba ilikuwa imebana sana pasaka hii nisingeweza kuja kuwaona live ila kwa hili next time mkija nitakuwa ndani ya nyumba.
ReplyDeletenilishahisi toka mwanzo hawa si watu wa kuja huku uk. wangerudi wawili tu bongo halafu lawama zingekuwa kwa nani,dida au balozi? lakini hakingeharibika kitu kama wangezamia,kawalee na makuta wangelamba dume.wangepata kazi bila work permit kina nyoshi!!!
ReplyDeleteNilijua mapema that there is no way Ngwasuma wanaweza kukubaliwa kwenda nchi yoyote ya Ulaya, kwa sababu robo tatu yao wasingeweza kurudi. Hawakupata VISA ndiyo sababu ya kufutwa safari na wala wasiseme imeahirishwa ni kwamba haiwezi kuwepo tena
ReplyDeleteKwani hiyo bendi ya FM Academia wana wa Ngwasuma hawana wanamuziki wa Kitanzania au nchi nyingineyo mbali na CONGO/ZAIRE ili waje kutupa raha huku ulaya kama wenzao wa Twanga PEPETA walivyokuja mwaka juzi? Ni ukweli wacongo hawawezi kurudi
ReplyDeleteHa ha ha Mapoto Malili, Africa moto. MZAIRE HAWEZI KWENDA ULAYA AKARUDI AFRIKA.
ReplyDeleteHayo maneno juu yana maana philosiphy ya Mzaire au Mkongo ni kwamba Ulaya(Mapoto) kuna baridi lakini Afrika ni Joto(Moto). So ni bora ufe kwa baridi ya Ulaya kuliko moto wa Afrika. Duh! Asingerudi mtu hapo
Wamenyimwa Visa Nini?
ReplyDeleteWATATUA KWA UNGO AU BI NYANKELA AU KIPEPE! SI MPAKA...VISA MCHEZO
ReplyDeleteaah yani nilikuwa nimejikoki kiukweli kucheza njiwa na samaki ana vipande vingapi, yani kesho ilikuwa huyooo ndani ya reading ili niwaone j2! mbona miyeyusho jamaniiii? daaaah!!!!!!
ReplyDeleteKichwa, tumbo na Mkia...Chezesha Mukia..ohhh lol tumekosa uhondo..!!??
ReplyDeletebora haijawa manake ilishakuwa mambo ya aibu. huku uk kina dada wa kibongo nasikia walishaanza kugombana kisa wanapoenda bongo wana share hao mabwana wa ngwasuma.wengine mashoga wa karibu na wengine nasikia ndugu kabisa lakini ndio kwa kutaka umaarufu na kuimbwa jukwaani inakuwa hawana jinsi. WHAT A SHAME!!!!
ReplyDeleteHAKUNA CHA AIBU WEE ANONYMOUS WA APRIL,11,2009. HAWA NGWASUMA NI MASTAA NA KAWAIDA MASTAA DUNIA KOTE WANABABAIKIWA HATA LAST YEAR HAPA DENMARK MWANA MUZIKI MMOJA ALISHINDA KWA KUIMBA ANABABAIKIWA KWELI NA VISICHANA VYA KIZUNGU ANGALIA HATA MASTAA WA MAREKANI WANVYOBABAKIWA NA WANAWAKE KISA WABONGO NDO UNAKASHFU, SAWA SAWA LAKINI TUSEME UKWELI HAWA JAMAA WOOOTE NI MAHANDSOME WAZEE WA PAMBA, WAZEE WA BLING BLING ACHA WANAWAKE WAJIUE MWEEEE... SIO WOTE WANAOPENDA NGWASUMA WANAWATAKA NGWASUMA WAKIKUJUA TU WEWE NI MSHABIKI WATAKUIMBA TUU KUNAWANOIBWA MBONA HATA HAWAJAWAHI KUWA MABWANA ZAO NA MMJOWAPO NI MIMI MSHABIKITANGU MWAKA 1996 MPAKA LEO HII NGAWSUMA KWANGU NI DAMUUUU "ANY WAY WATAKUJA TU TUTAWAONA HAWAWEZI KUINGIA MITINI HII TRUPS INAYOKUJA SIO YAKUINGIA MITINI KWANZA HIZO SCANI ZA MACHO NA VICHWA, NAWACHUKUA MPAKA VIDOLE, ACHENI KUWAKATISHA TAA MAPRODUCER ACHENI WIVU KUWASEMA WAKONGO MBONA WATANZANIA KIBAO MMEZAMIA HUKU TUMEJAA KILA KONA MPAKA TUMEFUNGUA MATAWI YA CHAMA,BALOZI WANYUMBA KUMIKUMI,KARIBU TATACHAGUA RAHISI NA WAZIRI ULAYA DUU!!!!!JINSI TULIVYO WENGI!!!! ACHENI KUONGEA YASIO WAHUSU
ReplyDeleteWe dada unayejiita teacher sijui uko Demnark, mbona unatoka kwenye mada yenyewe na kumuonea anony wa 11/2/09. Hakuna anayebishia uzuri, pamba au mkorogo wowote hapa. Mada ni kwa nini hawakwenda. Hawajatoa sababu za kuridhisha ndiyo maana watu wana conclude wamenyimwa VISA. Kwani wamekiri kuwa Mapromota wao walikamilisha kila kitu including tickets. Sasa kwa nini wasiende. Ukweli ni pale pale, wamenyimwa VISA kUHOFIA WATAZAMIA. Wabongo unaowasema wamejaa huko wao walipata VISA kwa kuwa waliaminika from the begining na wanafanya kile walichokifata. Sasa hawa ndugu zetu wa jirani hawaaminiki hata kabla ya kupanda ndege yenyewe. Unachobisha ni kipi sasa?
ReplyDeleteKinshasa Moto, Africa Moto, Mapoto malili, moto, moto, moto. Dah anonymus mmoja juu kati kati kanikumbusha enzi za niaka ya tisini nikisoma Cardiff, za rap ya Kofi Olomide ya huo wimbo wake akiimba, moto, moto, Kinshasa moto, Mapoto Malili, moto, moto tiri tiri tiri, eenh. Halafu inafuatia sauti nzito ya mzee mzima Kofi Olomidee
ReplyDeleteKISICHOELEWAKA NINI???? TANGAZO LIKO HIVI ""KUTOKANA NA SABABU ZILIZO NJE YA UWEZO WETU ILE SAFARI YA KUFANYA SHOO JIJINI LONDON IMEAIRISHWA"" NA WAMESEMA MAPROMOTA WAO WALISHALIPA MPAKA TICKET ZA NDEGENA MAMBO MENGINE MUHIMU"" BADO MTU ATAKAKUJUA KUWA WAMENYIMWA VISA TANGAZO LINA JIELEZA.
ReplyDeletemdau wa 3;30 apr 13 ujue hii bongo. watu wamechoka na matapeli.
ReplyDeleteDuh! Mdau hapo juu na wewe unachemka au hilo tangazo lenyewe hujalielewa. Katika mambo muhimu yaliyokamilishwa na Promota VISA si swala la PROMOTA. VISA ni swala la muombaji VISA ambao kwa mantiki ilivyo hapa ni wao FM Academia ndio waombaji VISA.Kama umewahi kusafiri ukiangalia kwenye Application form, muombaji VISA ni msafiri na siyo aliyekualika. Sasa ni katika hizo application forms za visa,ambazo baada ya kufika Ubalozi wa UK, walipogundua hawa jamaa karibu wote ni Wa Congo na hapo bongo ukazi wao una utata kwa kuwa wengi wao walionekana kupatiwa residency permits hivi karibuni tuu, ikazidisha mashaka ya ukazi wao bongo. Habari ndiyo hiyo
ReplyDeleteTEACHER WA DENMARK inapnekana wewe ndito hujaielewa hiyo cinema. Kwanza waliopaswa kutoa taarifa ya safari kuahirishwa wangekuwa ni MAPROMOTA WENYEWE na siyo FM ACDEMIA. Baada ya FM kuatambua wamechemsha swala la VISA wakawahi kujihani mapema kwa kumsifia promota kuwa katimiza kila kitu. Hapo ina maana tatizo ni wao FM wamekosa sifa za kwenda Ulaya ndiyo maana wamenyimwa VISA. Kama huamini waalike wewe huko DENMARK kwako uone kama watapewa VISA na mtu. Cha msingi wewe nenda Bongo utafurahi nao sana pale Makumbusho NA SI NCHI YOYoTE YA ulaya.Pole
ReplyDeleteHIVI DADA TEACHER WA DENMARK, UKIWA NI MMOJA WA WAPENZI WAKUBWA WA NGWASUMA TOKA 1996, KAMA ULIVYOJISIFIA, INGAWAJE UMESAHU TUU KUWA 1996 HAKUKUWA NA NGWASUMA HAPA BONGO. KWA TAARIFA YAKO NGWASUMA IMEANZA KUWEPO HII MIAKA YA 2000 NA KITU. WEKA RECORDS ZAKO SAWASAWA KAMA KWELI WEWE NI TEACHER
ReplyDeleteDUH WATANZANIA JAMANI KWA ROHO MBAYA????HIVI TOKA LINI MKAWA NA UPEO WA KUELEWA MAMBO????MNAPENDA KURUKIA TRAIN KWA MBELE?????SASA ALIYEKWAMBIA HAWA JAMAA HAWAJAWAI KUPIGA SHOW NJE YA BONGO NANI???
ReplyDeleteHAU NYIE NDO WALEWALE!
HAPANA SIKUBLIANI NA WEWE UKISEMA MTINDO WA NGWASUMA UMEKUJA JUZI LAKINI KAMA KUSEMA NAWAJUA TANGU 1996 NIKIIMANISHA TANGU ENZI ZILE ZA KINONDONI WAKIJULIKANA KAM "FM ACADEMIA"" WALIKUWEPO KABLA YA HUO MWAKA 2000 HAPO NITAKUBISHIA MPAKA ASUBUHI. KUHUSU SAFARI SINA COMENTS TENA HII NI BAINA YAO NA HUYO ANAYE WALETA NA UBALOZI SISI NI ILKUA KUJITAYARISHIA HICHO KIPOUND 20 TU TUWAONA WAZEE WAFUNIKA BOVU,BLING BLING,WAZEE WAKOGA,aka WAZEE WA PAMBA HAWAJAMAA PIGA UA NAWAKUBALI
ReplyDeleteDUUU SORRY NIMESAHAU KUKUJIBU WEWE WA 9.47, APR 13. KWENDA BONGO NAENDA MARA KWA MARA NAJUA SEHEMU ZAO ZOTE WANAZOPIGA WATAKAO WAFURAHIA NIWALE AMBAO HAWAWEZI KUTOKA NA NAHAWAJAWAHI KUWAONA LIVE!!!!
ReplyDeletenendeni congo mkachukue visa sio tz
ReplyDeleteUbalozi