


Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Du nawe michuzi hulali?usiku wote huu na kamera yako ulikuwa unatafuta nini?angalia utapewa talaka na my naniiii wako,na jana tu umetoka vekesheni,tehe tehe tehe tehe.nice job keep it up
ReplyDeletenDUGU WADAU HII NI HATARI SANA
ReplyDeleteHEBU ONENI HII LINKI
http://jamiiforum.blogspot.com/2009/05/freeman-mbowe-fisadi-papa.html
Matatizo ya leseni za kuletewa nyumbani hayo!
ReplyDeleteDereva aliyepitia mafunzo hawezi kuleta ajali ya kijinga namna hiyo.
Mi naona umekosea, tatizo hapo si leseni, nafikiri ni pombe tu ukizingatia muda wa ajali yenyewe.
ReplyDelete