Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii David Mwakyusa (kushoto)akisaini kitabu cha wageni wakati wa uzinduzi wa maabara ya kisasa Amana Hospital iliyojengwa na Mfuko wa Abbott Fund,(katikati) Makamu wa Rais wa Abbott Fund Christy Wistar,(kulia) Mganga Mkuu wa Wilaya ya Ilala Prof Dafrosa Limo.
Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii David Mwakyusa (kushoto)akisaini kitabu cha wageni wakati wa uzinduzi wa maabara ya kisasa Amana Hospital iliyojengwa na Mfuko wa Abbott Fund,(katikati) Makamu wa Rais wa Abbott Fund Christy Wistar,(kulia) Mganga Mkuu wa Wilaya ya Ilala Prof Dafrosa Limo.
Hiyo ni asante George Bush.
ReplyDeleteMakamamnda wa FBI na CIA walikuwa wametanda juu ya paa siku hiyo wakati Mkuu George Bush anatalii ndani. Naona kaona wagonjwa wanateseka sana akaagiza wasaidiwe.
Sasa muweke camera humo kibao au la tutasikia vifaa vimeingia mtini kama kawaida.Mwe Tanzania nchi yangu nakulilia wapi unaenda? kwa kweli "TANZANIA ITAJENGWA NA WENYE MOYO SAFI"
ReplyDeleteafadhali,soi kila siku wawekezaji kwenye mali asili tu,madini etc. lol afya na elimu ndo muhimu. Natumaini wengine wataiga mfano.
ReplyDeletewalahi vile vikiibiwa tena kama kawaida yenu, nitaomba search warrant natinga kwa mkuu wa maabara na staff wake wote na safari hii mkirudishia vingine bila uwajibishwaji kama mlivyofanya ocean road Mwakyu utaenda kulima mahindi. we have to be serious n mature
ReplyDeleteAbbott Fund. Miaka mingi nyuma, ningefikiri mwandishi wa ile volume ya Physics tuliyosoma mwaka 47 ambayo rafiki yetu Sabas alikuwa kai-hifadhi ukuirasa kwa ukurasa...
ReplyDeleteMAABARA HIYO HAITALETA MABADILIKO YOYOTE YALE, MALALAMIKO YA WAGONJWA YATABAKI PALEPALE, VISINGIZIO VYA MASHINE KUHARIBIKA VITAKUWEPO PALEPALE NA WIZI WA VIFAA HAUTACHUKUA MUDA.
ReplyDeletembona kule hamji?????
ReplyDeletesawasawa na masharti mengine yalofata baada ya ilo
wafadhili oyeeeeee
Duh Tanzania sivyo niijuavyo.... Tanzania newz siku hizi fasta...yani zimeshatoka katika blog!!! Kaka michuzi hongera.............
ReplyDelete