
VODACOM MISS MARA 209 MARIA JOSEPH KAVISHEAKIPINGIA BAADA YA KUTANGAZWA MSHINDI KATIKA MASHINDANO YALIYOFANYIKA MEI MOSI MJINI MUSOMA

VODACOM MISS MARA 2009 MARY JOSEPH KAVISHE (18) AKIWA NA MSHINDI WA PILI SABINA PATRICE BUDODI (20) NA KUSHOTO NI MSHINDI WA TATU MARY CHARLES MWITA (19) WAKIWA KATIKA PICHA YA PAMOJA MARA BAADA YA KUTANGAZWA MATOKEO.

JAJI MKUU JAFFAR HANIU WA TBC (SHOTO) NA MWANAIDI MATENGO WAKIWA KATIKA HATUA ZA MWISHO KABLA YA KUTANGAZA MATOKEO YA VODACOM MISS MUSOMA 2009. PICHA NA MADANGA SHAABAN MADANGA WA MEDIAWORKS INTERNATIONAL
Warembo kweli kweli,hatunaga bahati tu kushinda miss wold lakini Tanzania ina watoto warembo jamani!!
ReplyDeleteMary na Sabina hamna udugu nyie? hebu fuatilieni?hongereni, natural beauty.
ReplyDeletehawa mademu karibu wote wanafanana.ila ni warembo wa uhakika na alafu umri unalipa.natumaini wataendelea na Elimu baada ya mambo hayo ya U-Miss maana kwa umri wao ni vyema wakaendelea kujikong'oli na elimu pia.
ReplyDeleteKumbe mambo iko Mara! Mie ni mwenyeji wa Mara na nimefurahi sana kuona warembo wetu!
ReplyDeleteLong Live Wana Mara!
"NISHAMWAGA". KIPANYA
ReplyDeleteJamani wanawake hawa wazuri, hasa huyu bingwa wao!!!
ReplyDeleteLundenga na Makoye...yangu masikio.Mtaniambia!
ReplyDeleteJAMANI MSAADA KWENYE TUTA, HIVI HAWA MAJAJI HUCHAGULIWA KWA VIGEZO GANI? HUYU MKAKA(HANIU)KAOA? NITUMIE NO YAKO PLZ, UMETOKA BOMBA?
ReplyDeleteOh, there you go. Long are gone when the streets of Musoma were brimming with stories of the notorious and most feared witch - Nyakarega and a generation later the national newspapers had nothing else to report other than female genital mutilation and, of course, quite recently - tribal fightings. Let everyone know that we have since moved on...
ReplyDeleteLong live Mukendo and Mwigobero...
HAWA WATOTO WANAPENDEZA SANA KWA KULA KWA TAVUK SOTE-VIUNGO MAARUFU HAPA UTURUKI
ReplyDeleteWE NGOJA MIMI NA BAŞKİCİ WA ANKARA TURUDI TUTACHAPA WATOTO NI BALAA
SASA TUNAKONG'OLI DEGREE ZETU AHA
MTATUKOMA TUKIJA,TUTACHAPA KINYAMA
CÜMHÜRIYET BAŞSİKİCİ YARDIMCISI
TURKİYE
mdau uliesema unasubiri umalize degree yako uje uwachape hao watoto ukubali kuondoka na ngwengwe pia a.k.a. ngoma maana mkishaona watoto hivo suruali zinawatuna ovyooooo
ReplyDeletehuyo Mwanaidi ndio kanikosha Mwanaidi,Mwanaidi kweli
ReplyDeleteJamani huyu Kavishe kweli ana umri wa miaka 18 kweli? mbona anaonekana mkubwa kuliko umri alotaja - mana na hawa jamaa kutoka kipande ile wanasifikia kwa kurudisha namba nyuma.
ReplyDeleteDuh Kipanya yeye anasema kashamwaga bora yeye kuliko hawa ambao wanasubiri kumaliza degree mpaka wakimaliza hawa watoto washaoza kwa ma MP na Ma Superstar wa Bongo kusubiri kukimbizana Hospitali tu. Kipanya big up kaka bora wewe una Fantasy tu. Kavishe.
ReplyDeletejudge kashiba kweli. Duh bp na diabetics mhh mhhh mhhhhh
ReplyDeleteKavishe tokea lini akatokea mara? huu utata alau Budodi na Mwita yamekaa ki Mara
ReplyDelete