VODACOM MISS MARA 209 MARIA JOSEPH KAVISHEAKIPINGIA BAADA YA KUTANGAZWA MSHINDI KATIKA MASHINDANO YALIYOFANYIKA MEI MOSI MJINI MUSOMA 
VODACOM MISS MARA 2009 MARY JOSEPH KAVISHE (18) AKIWA NA MSHINDI WA PILI SABINA PATRICE BUDODI (20) NA KUSHOTO NI MSHINDI WA TATU MARY CHARLES MWITA (19) WAKIWA KATIKA PICHA YA PAMOJA MARA BAADA YA KUTANGAZWA MATOKEO.
JAJI MKUU  JAFFAR HANIU  WA TBC (SHOTO) NA MWANAIDI MATENGO WAKIWA KATIKA HATUA ZA MWISHO KABLA YA KUTANGAZA MATOKEO YA VODACOM MISS MUSOMA 2009. PICHA NA MADANGA SHAABAN MADANGA WA  MEDIAWORKS INTERNATIONAL

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 16 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 03, 2009

    Warembo kweli kweli,hatunaga bahati tu kushinda miss wold lakini Tanzania ina watoto warembo jamani!!

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 03, 2009

    Mary na Sabina hamna udugu nyie? hebu fuatilieni?hongereni, natural beauty.

    ReplyDelete
  3. Baba UbayaMay 03, 2009

    hawa mademu karibu wote wanafanana.ila ni warembo wa uhakika na alafu umri unalipa.natumaini wataendelea na Elimu baada ya mambo hayo ya U-Miss maana kwa umri wao ni vyema wakaendelea kujikong'oli na elimu pia.

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 03, 2009

    Kumbe mambo iko Mara! Mie ni mwenyeji wa Mara na nimefurahi sana kuona warembo wetu!

    Long Live Wana Mara!

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 03, 2009

    "NISHAMWAGA". KIPANYA

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 03, 2009

    Jamani wanawake hawa wazuri, hasa huyu bingwa wao!!!

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 03, 2009

    Lundenga na Makoye...yangu masikio.Mtaniambia!

    ReplyDelete
  8. AnonymousMay 04, 2009

    JAMANI MSAADA KWENYE TUTA, HIVI HAWA MAJAJI HUCHAGULIWA KWA VIGEZO GANI? HUYU MKAKA(HANIU)KAOA? NITUMIE NO YAKO PLZ, UMETOKA BOMBA?

    ReplyDelete
  9. Al MusomaMay 04, 2009

    Oh, there you go. Long are gone when the streets of Musoma were brimming with stories of the notorious and most feared witch - Nyakarega and a generation later the national newspapers had nothing else to report other than female genital mutilation and, of course, quite recently - tribal fightings. Let everyone know that we have since moved on...

    Long live Mukendo and Mwigobero...

    ReplyDelete
  10. AnonymousMay 04, 2009

    HAWA WATOTO WANAPENDEZA SANA KWA KULA KWA TAVUK SOTE-VIUNGO MAARUFU HAPA UTURUKI
    WE NGOJA MIMI NA BAŞKİCİ WA ANKARA TURUDI TUTACHAPA WATOTO NI BALAA
    SASA TUNAKONG'OLI DEGREE ZETU AHA
    MTATUKOMA TUKIJA,TUTACHAPA KINYAMA
    CÜMHÜRIYET BAŞSİKİCİ YARDIMCISI
    TURKİYE

    ReplyDelete
  11. AnonymousMay 04, 2009

    mdau uliesema unasubiri umalize degree yako uje uwachape hao watoto ukubali kuondoka na ngwengwe pia a.k.a. ngoma maana mkishaona watoto hivo suruali zinawatuna ovyooooo

    ReplyDelete
  12. AnonymousMay 04, 2009

    huyo Mwanaidi ndio kanikosha Mwanaidi,Mwanaidi kweli

    ReplyDelete
  13. AnonymousMay 04, 2009

    Jamani huyu Kavishe kweli ana umri wa miaka 18 kweli? mbona anaonekana mkubwa kuliko umri alotaja - mana na hawa jamaa kutoka kipande ile wanasifikia kwa kurudisha namba nyuma.

    ReplyDelete
  14. AnonymousMay 04, 2009

    Duh Kipanya yeye anasema kashamwaga bora yeye kuliko hawa ambao wanasubiri kumaliza degree mpaka wakimaliza hawa watoto washaoza kwa ma MP na Ma Superstar wa Bongo kusubiri kukimbizana Hospitali tu. Kipanya big up kaka bora wewe una Fantasy tu. Kavishe.

    ReplyDelete
  15. AnonymousMay 04, 2009

    judge kashiba kweli. Duh bp na diabetics mhh mhhh mhhhhh

    ReplyDelete
  16. AnonymousMay 05, 2009

    Kavishe tokea lini akatokea mara? huu utata alau Budodi na Mwita yamekaa ki Mara

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...