Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 26, 2009

    jamani wauswazi yuko wapi

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 26, 2009

    MSAADA KWENYE TUTA

    Kaka michuzi mimi ni mdau wa ughaibuni nina miaka 31. Nimekuwa nikitafuta mchumba wa kuoa kwa miaka 6 sasa na watoto wa nyumbani hawanitaki kwa sababu 2, kwanza sura yangu kama remmy, pili sina mkwanja. (Kuna mademu watatu wa kibongo, wameniambia "live" kuwa hakuna mwanamke atakayenikubali mimi kwa kuwa eti sina kisu). Cha kushangaza ni kwamba wazungu kibao tuu wananimind na kadhaa wametaka kuolewa na mimi isipokuwa nimewakataa kwa kuona kuwa ni usaliti kwa dada zetu pamoja na mimi mwenyewe. Lakini sasa baada ya miaka 6, uzalendo unaanza kunishinda, na inavyoonekana nitaishia kuwa na demu wa kizungu tuu. Swali langu kwa wadau ni kwamba, niendelee kukomaa kutafuta demu wa nyumbani na muda unakwenda, au nikichukua mzungu pia ni sawa tuu na hakuna makosa?

    Hii ni "serious issue" nawaomba msaada wa ushauri wenu wadau

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 27, 2009

    Wewe Tarehe May 26, 2009 8:49 PM, Mtoa Maoni: Anonymous
    Haya ni maswala yako na nafsi yako. Sisi hatutakaa na mkeo ukishaoa. Unataka mtu kwa ajili ni mbongo au mtu anayekupenda na mnasikilizana?

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 27, 2009

    usemakweli wabongo umewaacha huku tanzania, huko unakosema hao wabongo unaokutana nao ni wahangaikaji kama wewe! kwa nini usijaribu kukutana na wanaijeria?

    wewe fikiria kama unataka kupata samaki unaenda baharini au kwenye mto? hapa sawa na kusema wewe mchina unaenda amerika kusini kutafuta mamawatoto. siutawapata wakaajii wapale.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...