
Nasikitika ku tangaza habari ya msiba wa mama mkwe wangu Mrs Margaret Kumbuka uliotokea leo asubuhi huko Baltimore Maryland, United States.
Mama kumbuka ni mkazi wa London na alikuwa mwalimu katika University of London. Alikuwa amekwenda USA kwa ajili ya kumtembelea binti yake, Mahadia kwa likizo fupi.
Msiba utakuwa nyumbani kwake:
59 York Way,
Whetstone,
London,
N20 0DF.
Marehemu alikuwa anakaa na wanae Khalid na Arafa Kumbuka. Mrs Kumbuka pia alikuwa mama wa mwanamuziki wa bongo flava, Adili 'Nigger One'. Mipango ya kusafirisha mwili wa marehemu toka USA kwenda Tanzania kwa mazishi inafanywa.
Kwa wale watakaopenda kuwasilisha michango ya pesa kusaidia shughuli za mazishi waweza kutuma kwenye akaunti za mabinti wa marehemu Mwalimu Margaret Kumbuka, Arafa na Mahadia.
Kwa Uingereza waweza tumia:-
Name: Arafa Kumbuka
Bank: Natwest
A/c No.: 21806683
Sort code: 602479
Kwa USA waweza tumia:-
Name: Mahadia Kumbuka
Bank: Wachovia
A/c No.: 1010132859053
Routing No.: 055003201
Kwa maelezo zaidi, wasiliana na Achu Mchujuko kwa simu
07788878333 / 07951503042
au mahadia kumbuka
+1 443 824 4228
may you rest in peace my teacher
ReplyDeleteMay her soul rest in Peace. Poleni sana familia. Mungu awajalie faraja ya kweli.
ReplyDeletePOLE SANA MAHADIA NA NDUGU JAMAA NA MARAFIKI KWA MSIBA HUU MZITO.
ReplyDeleteMUNGU AMLAZE MAHALI PEMA PEPONI.
Jamani Mahadia poleni sana na msiba wa mama...she was such a great teacher
ReplyDeleteGreat Teacher at IST circa 1994. I will never forget breaking down 'Rosa Mistika' literature book in the Swahili class. A true Mother figure. Shocking news! Rest in Peace.
ReplyDeletepole sana mahadia, may she RIP
ReplyDeletePoleni na msiba
ReplyDeletepole sana mahadia mungu ailaze roho ya marehemu peponi-amin
ReplyDeletepole sana mahadia mungu atawapa subira- innalillahi wainnailaihi rajiun
ReplyDeletepoleni sana wafiwa tuko pamoja.
ReplyDeleteSafia.
Poleni sana. Marehemu Mwalimu Kumbuka alikuwa Mwalimu wangu pia International School,1990. poleni sana.
ReplyDelete