Nasikitika ku tangaza habari ya msiba wa mama  mkwe wangu Mrs Margaret Kumbuka uliotokea leo asubuhi huko Baltimore Maryland, United States.

Mama kumbuka ni mkazi wa London na alikuwa mwalimu katika University of London. Alikuwa amekwenda USA kwa ajili ya kumtembelea binti yake, Mahadia kwa likizo fupi.

Msiba utakuwa nyumbani kwake: 
59 York Way, 
Whetstone, 
London, 
N20 0DF.

Marehemu alikuwa anakaa na wanae Khalid na Arafa Kumbuka. Mrs Kumbuka pia alikuwa mama wa mwanamuziki wa bongo flava, Adili 'Nigger One'. Mipango ya kusafirisha mwili wa marehemu toka USA kwenda Tanzania kwa mazishi inafanywa.

Kwa wale watakaopenda kuwasilisha michango ya pesa kusaidia shughuli za mazishi waweza kutuma kwenye akaunti za mabinti wa marehemu Mwalimu Margaret Kumbuka, Arafa na Mahadia.

Kwa Uingereza waweza tumia:-
           Name: Arafa Kumbuka
            Bank: Natwest
         A/c No.: 21806683
     Sort code: 602479

Kwa USA waweza tumia:-
             Name: Mahadia Kumbuka
              Bank: Wachovia
           A/c No.: 1010132859053
  Routing No.: 055003201
  
Kwa maelezo zaidi, wasiliana na Achu Mchujuko kwa simu 
07788878333 / 07951503042 
au mahadia kumbuka 
+1 443 824 4228

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 11 mpaka sasa

  1. son of alaskaMay 04, 2009

    may you rest in peace my teacher

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 04, 2009

    May her soul rest in Peace. Poleni sana familia. Mungu awajalie faraja ya kweli.

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 04, 2009

    POLE SANA MAHADIA NA NDUGU JAMAA NA MARAFIKI KWA MSIBA HUU MZITO.
    MUNGU AMLAZE MAHALI PEMA PEPONI.

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 04, 2009

    Jamani Mahadia poleni sana na msiba wa mama...she was such a great teacher

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 05, 2009

    Great Teacher at IST circa 1994. I will never forget breaking down 'Rosa Mistika' literature book in the Swahili class. A true Mother figure. Shocking news! Rest in Peace.

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 05, 2009

    pole sana mahadia, may she RIP

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 05, 2009

    Poleni na msiba

    ReplyDelete
  8. pole sana mahadia mungu ailaze roho ya marehemu peponi-amin

    ReplyDelete
  9. AnonymousMay 05, 2009

    pole sana mahadia mungu atawapa subira- innalillahi wainnailaihi rajiun

    ReplyDelete
  10. AnonymousMay 05, 2009

    poleni sana wafiwa tuko pamoja.
    Safia.

    ReplyDelete
  11. AnonymousMay 05, 2009

    Poleni sana. Marehemu Mwalimu Kumbuka alikuwa Mwalimu wangu pia International School,1990. poleni sana.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...