Home
Unlabelled
nipe tano...
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
the little girl looks exited to see the PM but scared, cant even kula tano from the PM. Is because she is a girl? and naturalyvfeels inferior? look aat the boys, very confident and wanakula tano karibu wote.
ReplyDeleteHuko mashuleni, waelimishe ya kwamba watoto wote sawa na binadamu wote ni sawa, haijalishi uwe msichana au mvulana, hii tabia ya kuwaweka wanawake katika khali ya kutengwa kama wanaweke imepitwa na wakati, kwani hat mtoto wa kike aweza kuwa mp. hasa angalia hapo msicha. anamwangalia, Mp kwa kuvutiwa, na andhani Mp labda ni lazima awe mwanaume,kiasi hata kumpa tano anaogopa kwa kuwa yeye mwanmke.
ReplyDeleteYaani watu wengine wanachekesha kweli kweli .....
ReplyDeleteMnatumia ujuzi gani kuchanganua kwamba wanafunzi wa kike hawakumpa "tano" PM?
Huyo mtoto anayeshangaa hapo mbele na hana hata uniform naye ni mwanafunzi wa hiyo shule, au amezamia kutoka shule nyingine baada ya kuivua uniform yake? kama anasoma hiyo shule inabidi asaidiwe kupata uniform jamani.au PM hajamuona?
ReplyDeleteanony wa kwanza nimependa Ze english umetumia!tehteh!
ReplyDeleteMulox
Nakuunga mkono anony wa 4.26PM
ReplyDeleteNadhani waliotoa hio comment, walitaka waone hao wanafunzi wa lio mbele wa kike wameendelea kunyoosha tano zao juu hata kama wameshampa tano waziri mkuu. Maana kwa vyovyote wao wako mbele na walitangulia kumpa tano waziri mkuu. Hao wengine huwezi kuchanganua yupi wakike na yupi ni wa kiume.
Kumbe Pinda naye anoanekana mzee wa vijiwe. Hapitwi na wakati, loh!
ReplyDeletekwa taarifa yako wewe unayeulizia uniform, watoto wa shamba akili zao mara5 ya hao wako wanaovaa suti. badala ya ya kumkejeli ungetafuta kipi kilichomsibu na kusaidia if at all u can!mshamba wewe unapima kitabu kwa jalada.
ReplyDeletehahahahahaaa annons yan burudani tu
ReplyDeletelabda wangeendelea kunyoosha mikono juu,
afu watoto wanatia huruma jaman!!
nasikia uchungu sana
laiti ningekua na uwezo kuhudumia kila unpreveledge child Tz ningefanya ivo
mtafika siku nyie ni viongozi wa baadae
MHESHIWA PINDA IWEJE WANANCHI MLIOWAAHIDI WAKATI WA KAMPENI KUWA MTAWAPELEKEA MAJI LEO MNAWAPA AMRI YA SIKU TISINI KULIPIA MRADI WA MAJI? SASA NI KWELI AHADI ZA WANASIASA SI DENI.
ReplyDelete