Waziri Mkuu Mh. Mizengo Pinda akisalimiana na watoto baada ya kuzindua majengo ya shule ya sekondari ya Mangalua wilayani Sumbawanga

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 12, 2009

    the little girl looks exited to see the PM but scared, cant even kula tano from the PM. Is because she is a girl? and naturalyvfeels inferior? look aat the boys, very confident and wanakula tano karibu wote.

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 12, 2009

    Huko mashuleni, waelimishe ya kwamba watoto wote sawa na binadamu wote ni sawa, haijalishi uwe msichana au mvulana, hii tabia ya kuwaweka wanawake katika khali ya kutengwa kama wanaweke imepitwa na wakati, kwani hat mtoto wa kike aweza kuwa mp. hasa angalia hapo msicha. anamwangalia, Mp kwa kuvutiwa, na andhani Mp labda ni lazima awe mwanaume,kiasi hata kumpa tano anaogopa kwa kuwa yeye mwanmke.

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 12, 2009

    Yaani watu wengine wanachekesha kweli kweli .....

    Mnatumia ujuzi gani kuchanganua kwamba wanafunzi wa kike hawakumpa "tano" PM?

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 12, 2009

    Huyo mtoto anayeshangaa hapo mbele na hana hata uniform naye ni mwanafunzi wa hiyo shule, au amezamia kutoka shule nyingine baada ya kuivua uniform yake? kama anasoma hiyo shule inabidi asaidiwe kupata uniform jamani.au PM hajamuona?

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 12, 2009

    anony wa kwanza nimependa Ze english umetumia!tehteh!
    Mulox

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 12, 2009

    Nakuunga mkono anony wa 4.26PM

    Nadhani waliotoa hio comment, walitaka waone hao wanafunzi wa lio mbele wa kike wameendelea kunyoosha tano zao juu hata kama wameshampa tano waziri mkuu. Maana kwa vyovyote wao wako mbele na walitangulia kumpa tano waziri mkuu. Hao wengine huwezi kuchanganua yupi wakike na yupi ni wa kiume.

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 12, 2009

    Kumbe Pinda naye anoanekana mzee wa vijiwe. Hapitwi na wakati, loh!

    ReplyDelete
  8. AnonymousMay 13, 2009

    kwa taarifa yako wewe unayeulizia uniform, watoto wa shamba akili zao mara5 ya hao wako wanaovaa suti. badala ya ya kumkejeli ungetafuta kipi kilichomsibu na kusaidia if at all u can!mshamba wewe unapima kitabu kwa jalada.

    ReplyDelete
  9. AnonymousMay 13, 2009

    hahahahahaaa annons yan burudani tu

    labda wangeendelea kunyoosha mikono juu,
    afu watoto wanatia huruma jaman!!
    nasikia uchungu sana

    laiti ningekua na uwezo kuhudumia kila unpreveledge child Tz ningefanya ivo

    mtafika siku nyie ni viongozi wa baadae

    ReplyDelete
  10. AnonymousMay 13, 2009

    MHESHIWA PINDA IWEJE WANANCHI MLIOWAAHIDI WAKATI WA KAMPENI KUWA MTAWAPELEKEA MAJI LEO MNAWAPA AMRI YA SIKU TISINI KULIPIA MRADI WA MAJI? SASA NI KWELI AHADI ZA WANASIASA SI DENI.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...